Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Mie ndiyo niko nafungasha virago hapaKwahiyo unataka kunambia Mimi naiabisha Dar,ilifaa niwe mkoani? Maana hizo sifa sina hata 1 na nipo Dar duh, narudi mkoani kwetuuu.... [emoji1]
Mie ndiyo niko nafungasha virago hapaKwahiyo unataka kunambia Mimi naiabisha Dar,ilifaa niwe mkoani? Maana hizo sifa sina hata 1 na nipo Dar duh, narudi mkoani kwetuuu.... [emoji1]
Hii..Ni nn hii boss
Tuondoke zetu mwaya, kumbe mji una wenyewe huu wenye sifa zao[emoji1] [emoji1] , ila wewe mwenzangu nimesikia hizo sifa zote unazo au unanienjoy tu[emoji30]Mie ndiyo niko nafungasha virago hapa
HakikaHapana siwapondi ,nachotambua ubora na uzuri wa mwanamke hauangalii mkoa anaotokea, mikoani mbona wapo warekbo wengi sana, na hao wa dar wengi wametoka mikoani,
[emoji1] [emoji1] mwendo wa mbege tuuUkanywe Yokozuna sasa
[emoji1] [emoji1] mwendo wa mbege tuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]naona umeamua kunitukana matusi ya rejareja, mie hizo sifa nazitolea wapi. Tuondoke tu kwa kweli mie kwetu nanjilinji wewe jeTuondoke zetu mwaya, kumbe mji una wenyewe huu wenye sifa zao[emoji1] [emoji1] , ila wewe mwenzangu nimesikia hizo sifa zote unazo au unanienjoy tu[emoji30]
Mbona haujiamini jamaniNumber..
Hivi tangu July Hadi Sasa mbona Kama nimeandika upupu wangu mwingi humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa, mi kwetu Sumbawanga na ndyo nipo safarini wasalimie Nanji.. ukifika mamy[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]naona umeamua kunitukana matusi ya rejareja, mie hizo sifa nazitolea wapi. Tuondoke tu kwa kweli mie kwetu nanjilinji wewe je
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]sawa mdogo wangu zimefika nawe wasalimie kule ukifikaHahaaa, mi kwetu Sumbawanga na ndyo nipo safarini wasalimie Nanji.. ukifika mamy[emoji1]
Oh sawa.Mbona haujiamini jamani
Niletee radi ya buku ukirudi nna kazi nayo mkuuHahaaa, mi kwetu Sumbawanga na ndyo nipo safarini wasalimie Nanji.. ukifika mamy[emoji1]
JF huwa nacheka hadi hapa home wanasema nimeanza kuwa chiziMkuu hizo nyege zako tu zikiisha kichwa kikubwa kitafikiri vizuri.
Unamzidi sanchoka????.... Nyumba ni Choo mkuuUmewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Wewe the sameWe we utakuwa wa kigoma na utakuwa na sura mbovu sana,,,
Huna lolote kwanza una sura kama babako.Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu