Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Habari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha

Hawa wanatoka wapi?
Umeona chalii ya r , sio wagumu kama wa r chugga
 
Habari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha

Hawa wanatoka wapi?
Nenda Arusha wewe haswa msimu wa baridi kila demu mzuri.Nenda tanga wewe upate anayejua mahaba hutatamani kurudi dar
 
Dar kuna wanawake wakila aina ukitaka wastaarabu wapo micharuko wapo , wanaouza wapo niwewe mwenyewe tu na chaguo lako, ukita wanawake wanaofaa kuoa wapo dar nikama dampo limekusanya vitu vibaya na vizuri visivyo faa kwa matumizi na vinavyo faa kwa matumizi.
 
Back
Top Bottom