Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Hukakosea dar kuna mademu bomba sana...unaweza hama bar 10 zote zina mademu wakali balaa mpaka ukajiuliza waliojenga walikhanisiwa au
 
Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.

Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Kigoma kuna sehemu inaitwa Nyarubanda aisee huko wanakuita utusini watoto wazuri warefu wenye asili ya kitusi sema tatizo ni wachafu wachafu..wakioga na kupiga pamba kama za wadada wa daslam ni hatari
 
Laziada ulilisaha. Wanawake wa Dar 90% hawana Marinda
 
Ongeza kuwa kukufanyia yote hayo lazima Ngawira ziwepo!
 
Huo mda wa kuwaaangalia wanawake unaupata wapi embu naomba tuanzie hapo kwanza
 
Dar kuna wanawake wakila aina ukitaka wastaarabu wapo micharuko wapo , wanaouza wapo niwewe mwenyewe tu na chaguo lako, ukita wanawake wanaofaa kuoa wapo dar nikama dampo limekusanya vitu vibaya na vizuri visivyo faa kwa matumizi na vinavyo faa kwa matumizi.
Kabisa ni chaguo lako tuu
 
Huo mda wa kuwaaangalia wanawake unaupata wapi embu naomba tuanzie hapo kwanza

Wanawake wapo kila eneo, ukiwa home wapo ,ofisini wapo, road wapo,kwenye daladala wapo, bar wapo,makanisani wapo na tatizo kubwa wamekuwa wengi,,, sasa we we kwa ajili zako usipowaangalia wanawake unataka uangaliage nini hasa? Hawa viumbe ni wetu so inatakiwa tunawaangalia na kuwatumia ipasavyo
 
Back
Top Bottom