Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Akili 2 basi tunatofautiana sana.

Mimi katika kuzurura kwangu mikoa mbali mbali hapa bongo, sijawahi kuona mkoa wenye watoto wazuri kama Dodoma.

Hakika huu mkoa kweli unastahili kuwa mji mkuu, pamoja na ukame wake lakini maua tunayokutana nayo kila kona ni bustani tosha isiyochosha kuiangalia.

Halafu kwanza huku Dom mabinti ndio wamejaa, yaani namaanisha warembo ambao bado wako U-30 ndio wapo wengi sana kuliko watu wazima.

Sasa nyie huko Dar kwanza wengi ni fakero, dar kila mwanamke anataka aonekane mweupe kitu kilichopelekea bleaching creams ziwe na soko sana mkoa huo.

Dar es salam is a national bleaching headquarter. Kuna kiongozi fulani miaka ya nyuma aliwahi kulisema hili.

Aisee taratibu mdogo wangu
Watu weusi tupo wengi tu
 
Mkuu Dodoma hamna kitu pale wengi wachafu chafu sana na sura mbovu mbovu sana,,
 
Kwenye kutokua na maringo hapo ndo napowakubali masuala ya kufukuzia demu miaka minne ni kama unasomea civil engineering ni uboya
Kama ndio sema ndio kama hapana sema hapana
[/QUOTE

Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom