Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Akili 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Messages
298
Points
250

Akili 2

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2018
298 250
Habari,

Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine?

Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni...

1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha

Hawa wanatoka wapi?
 

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,331
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,331 2,000
Sio nyege Bali naongea ukweli mtupu
Maisha ya mjini ni tofauti na mikoani, kijijini kazi ni ngumu na watu wanatumia nguo mbaya mbaya wakiwa kazini, ila huku kazi soft na watu wanapendeza muda wote. Hata kuwaona wamependeza ni kazi zao hizo na pochi yako inatafutwa
 

Forum statistics

Threads 1,343,519
Members 515,078
Posts 32,787,346
Top