google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
Unashangaa nn
Unashangaa nn
Hahaha.. Naamini wewe sio mmoja ya hao wanawake wa dar wanaoamini kuwa mzuri mpaka uwe na rangi ya carrot![]()

Usafi wao umeujuaje? kama unaangalia kwa juu umeliwa!!Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.
Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Hadi kwa ndani naangalia mkuuUsafi wao umeujuaje? kama unaangalia kwa juu umeliwa!!
Hahaha siyo kama hawa wapo wakali zaidi ya hawaKama hawa..View attachment 1225176
We we utakuwa wa kigoma na utakuwa na sura mbovu sana,,,Hela ndio kila kitu mengine yatajileta tu vuu.
Asikuoe presha huyo ni lofa kapewa kaupenyo kaja kujikosha huku.
Wachafu sana utazani mnashinda gerejiKwa hiyo mkoani sisi Ni wabaya,?
Umejuaje kua wewe ni mzuri? unajiona wewe ni mzuri kwa kujilinganisha na nani?Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Hao wanaopinga hawajawaona na kuwatumia ,,Kaka ujakosea ni ukwel mtupu...ila ao jamaa wanaupnga ukwel tu![]()
Ngoja ajeUmejuaje kua wewe ni mzuri? unajiona wewe ni mzuri kwa kujilinganisha na nani?
Mkoa gani huo ulikuta wachafu!??Wachafu sana utazani mnashinda gereji
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu

Mikoa yaMkoa gani huo ulikuta wachafu!??
Wangapi ulikuta wachafu?
Mikoa ya
1.Rukwa
2.Katavi
3.Kigoma
4.Tabora
5.Simiyu
6.Shinyanga
7Songw
8. Iringa
9.Singida
10.Arusha
11.Msoma
12.bukoba
13. Mwanza
15.Njombe
16.Mbeya huku ndiyo kunawake kama mapipa hayajulikani kiuno kiko wapi












Hata wachafu wapo sana,
Nikupe pole..
Mbeya umesema Nini ati!????
Watu wa dar mna matatizo Sana...Sasa watu wa mbeya kuwa mapipa kunahusiana vipi na uchafu?
Habari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha
Hawa wanatoka wapi?
Ukahaba UPI? Hivi MTU kuwa msafi ni ukahaba? Hivi unajielewa kweli weweUkahaba ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa kipindi hiki. Mungu turehemu na utuepusha na hii roho toka kuzimu.