Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Katoto kazuri acha wivu bhana ,, utaolewa tuu mda ukifika
Sinaga wivu kabisa au unataka list marafiki zangu wameolewa na dada zangu mbona sijajiua au kuwafitini wanaume hawapo hujhi tu siku hizi lakini zamani walikuwepo.
 
Mkuu Dodoma hamna kitu pale wengi wachafu chafu sana na sura mbovu mbovu sana,,
Wewe unaongelea Dodoma gani!?

Dodoma hii iliyojaa warangi na zile species za Singida!?

DOM hii ambayo ikifika jioni maeneo yote ya Town yanatapaka warembo, wanafunzi wa vyuo na wafanya kazi wakitoka kwenye mishe mishe zao?

Ukienda sehemu za wasusi kama pale Jamatini ilipokuwepo stand ya hiace ni zaidi ya jinsi unavyoiona Mwenge huko dar, full warembo tena wabichi wabichi wamekuja kupendeza.
 
Kwetu dom mbona wapo smart
Mwambie huyu aje mji mkuu ajione mauwaridi ambayo mengi ndio kwanza yanaanza kuchanua.

Aachane na hao wa huko dar ambao hawawezi kwenda hata kariakoo bila heavy make ups kwenye nyuso zao.
 
Nani anataka invisible wewe ni invisible sasa hivi wadada wanaojitambua wanako busy laboratory wanatengeneza midoli ya kiume wakaishi nayo au wanyama nyie hamna jipya.
Kwamba akina nani hawana jipya?
IMG_20191001_003508.jpeg
 
Habari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha

Hawa wanatoka wapi?
Kaka ujakosea ni ukwel mtupu...ila ao jamaa wanaupnga ukwel tu
 
Mpe mwanamke wako pesa Aje Dar akae miezi sita halafu arudi huko uliko,Ndio utaelewa huku Dar.
 
Back
Top Bottom