Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Jamani na sisi tuje huko dasalamu,maana huku kazi za shamba muda wote,tunavizia mabinti mashambani tu
 
Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.

Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Wanawake wakiwa ni wengi sehemu moja huwa wanajitahd sana kuwa wasafi na wastaarabu ili kuweza kuikabili hali,ndyo maana mwanamke akifika Dsm anajitahid kujiweka smart kwenye kila jambo vinginevyo,hawezi tongozwa wala kusalimiwa na mwanaume yeyote!
 
Akili 2 basi tunatofautiana sana.

Mimi katika kuzurura kwangu mikoa mbali mbali hapa bongo, sijawahi kuona mkoa wenye watoto wazuri kama Dodoma.

Hakika huu mkoa kweli unastahili kuwa mji mkuu, pamoja na ukame wake lakini maua tunayokutana nayo kila kona ni bustani tosha isiyochosha kuiangalia.

Halafu kwanza huku Dom mabinti ndio wamejaa, yaani namaanisha warembo ambao bado wako U-30 ndio wapo wengi sana kuliko watu wazima.

Sasa nyie huko Dar kwanza wengi ni fakero, dar kila mwanamke anataka aonekane mweupe kitu kilichopelekea bleaching creams ziwe na soko sana mkoa huo.

Dar es salam is a national bleaching headquarter. Kuna kiongozi fulani miaka ya nyuma aliwahi kulisema hili.
 
Wanawake wakiwa ni wengi sehemu moja huwa wanajitahd sana kuwa wasafi na wastaarabu ili kuweza kuikabili hali,ndyo maana mwanamke akifika Dsm anajitahid kujiweka smart kwenye kila jambo vinginevyo,hawezi tongozwa wala kusalimiwa na mwanaume yeyote!
Na vipi kuhusu mashindano yao kuvalisha uso make ups tena zile nzito nzito mpaka wanabadilika sura wanakuwa kama vikatuni!?

Wanawake wa Dar wanajali sana mionekano yao kupitiliza hasa sura mpaka wanafikia hatua ya kupaka chochote usoni ilimradi tu kilete mvuto.
 
Kwenye kutokua na maringo hapo ndo napowakubali masuala ya kufukuzia demu miaka minne ni kama unasomea civil engineering ni uboya
Kama ndio sema ndio kama hapana sema hapana
 
Mimi sijakuona cute ila naamini wewe ni mzuri Kama ulivyojisifia
Nakuuliza swali la kizushi
Uzuri upo kwenye mashine Je mashine upande wako inasaga au inakoboa?
Vyote
 
Back
Top Bottom