nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
- Thread starter
-
- #461
Hawa watu huku huku mkoani ukiwaambia kuna watu kila mwezi wanaingiza hadi milioni100 na zaid watabisha,halafu kwa formula ya kawaida kabisa,tena elimu ya kawaida tu...sasa niambie dar unapiga deal gani ambayo unaingiza zaidi ya hela hiyo...Ushasema kilimo alafu unauliza biashara gani tena...sasa huyo anayelima kisasa ndani ya miezi sita ana uwezo wa kununua gari au kujenga nyumba na ikaisha...je biashara gan kwa wew apo dar unayoweza kuifanya ndani ya miez sita na ukanunua gari la maana na kuanzisha ujenz. Dar ni sawa na mtu mfupi anaetembea hatua fupi fupi nyingi alafu anakuja kupitwa na mtu mrefu anaetembea hatua moja ambayo ni sawa na mbili au zaid za mtu mfupi
We muongo labda kama ni kigoma huko ambako sikujuiKulima kisasa.?
Usiingie huko manake najua vilimo vyote nchi nzima nje ndani.
Wanaofaidika na kilimo sio mkulima.
Na wakulima wa kisasa wakubwa wengi hawaishi mikoani.
Dah mwanangu,mimi mwenyewe tu naweza kukugawia 100k pa day na nisikudai hataUnaweza kukuta mkoa mzima watu watatu au wanne pekee wanaingiza 100k per day.
Kwa deal...maana sio uhakikaHapana mengine ni ya kwako. Nikipita tandika , kigogo na mwansnyamala
Dar
Dar is complecated. Sii rahisi kama unavoandika hapa.
Dar kulala tajiri na kuamka maskini ni rahisi sana.
na ukiipata hiyo 10,000 inafanya kitu kikubwa kuliko Dar...Mkoani kama huna pesa ni vigumu mno kupata pesa, tofauti na dar.
Kuipta 10000 tu mkoa ni kazi mno tofauti ukiwa hapa mjini aiseeh.
Yote kwa yote kila mtu ana jinsi yake aaminiavyo atatoboa. Mjini si kila mtu katoboa kuna wanaokwama na wanaofanikiwa ni bongo yako tu jinsi gni unaichemsha.
uyu jamaa kama alioa basi ndoa ilikuwa na tatizo...Yeah kichwa lazima kiume ukikatisha usingizi, ina maana ulikuwa unalala masaa 5 tu badala ya atleast 7 ambayo ndio recommeded kwa afya!
We unamiliki hata kimoja wapoUkiegemea kwenye hesabu za probability, uwezekano wa kutoboa ukiwa Dar ni mkubwa kuliko mkoani. Magari na majumba mazuri yako Dar. Mkoani mtu anayetembelea shangingi ni mkuu wa mkoa pekee, whats ur chance of getting one?
Yep! Nilipata mali kwenye umri mdogo ila nyingi hazikudumu...We unamiliki hata kimoja wapo
Si kweli. Unapajua ungalimited, ngarenaro,matejoo, kambi ya fisi.Arusha
Hizo ajira za take home 2 au 3m kuzipata mkoani ngumu so lazma ukomae hapa DarHahah ila mi naona Dar nzuri kwa biashara kuliko ajira ila uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa na kuuza pipi.
Kwa ajira ukipata unayokunja at least 2 to 3m kama take home ndio utainjoy life la mjini. Ila kinyume na hapo ni shida tu mzee baba!
Mkuu huo mkoa uliopo watu wote wanaishi kwenye "apatimenti" au nyumba za kisasa pekee??kwa ujuzi mdogo nilionao hakuna mkoa ambao hauna hzo slums unazosema.....na mtu akiwa anaishi slums za dar akitunisha mabega aseme yuko??hahaahAcha zako mkuu usitufanye mazuzu humu mimi nimekaa Dar miaka mingi , Tandale zile ni nyumba au slums we jamaa muongo sana , mitaa michafu , plan ya ovyo kabisa na kwa taarifa yako Dar es Salaam maeneo yaliyo staarabika ni machache mno mengi yapo nje ya mji asilimia 70 ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye slums halafu nao wanatunisha mabega eti mi wa Dar , nonsense kabisa mwambie akuoneshe anapokaa sasa .......ptuuu
Nyie watu ni arrogant sana ila wengi wenu mnaishi maisha ya taabu sana
Mjomba awamu hii ukija kufunga mzigo tena utafikia gesti mana ukijaga dar unanisifu kua nimejiongeza mpaka ukiwa na shida mjini unapata kwa kufikia alafu jf unanichana makavu hivi kweliWauza mayai hao , we unaishi kwa mfuga mbwa halafu unajifananisha na wa mkoani , shenzi sana hawa
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Ambazo zinamilikiwa na matycoon wao wanaishia kujipooza na chura chafu za kona bar