LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
Acheni upotoshaji na kuongea kwa kukariri,hivi unazijua systems za hayo maeneo unayoyataja?Nimewaambia hivyo hivyo hapo nyuma naona wakawa kimya
huko hakuna ujanja ujanja,wala miundombinu yake sio mibovu kama ya hicho kijiji kikubwa,kule unafika mishe kwa wakati na kazi zinafanywa kwa kupata trainings,tena unaweza hata kufanya kazi mbili sehemu mbili tofauti bila shida,na si kazi zenu za viwandani,unamenyeka nguvu zako afu unalipwa elfu nne kwa siku afu unakuja kutamba hapa kuwa nipo dar napambana,huo ndio ujinga alioukataa mleta uzi,hana chuki na mtu,anajaribu kushare mazuri na tofauti aliyoi`experience baada ya kutoka dar,mtu unapoteza masaa 4 upo barabarani unaenda kibaruani,kibarua kisicho hata na tija zaidi ya kununua tecno na kuja kupost utumbo hapa,kinachozungumzwa na mtoa mada si kwamba mikoani ndio kila mtu kafanikiwa,ila anazungumzia possibility ya mafanikio mkoani ni kubwa kwa mtu mwenye nia ya kusogea mbele kimaisha ukilinganisha na nyie msio na cha maana mnachokifanya hapo zaidi ya kujipa matumaini ya kutoboa kisa magari mazuri yapo Dar,nimesikitishwa kuona kuna watu bado mnapima maendeleo kwa kuangalia majumba na magari bila kujipima maisha yenu binafsi yana unafuu gani kwako na kwa familia yako directly,hao wenye magari mazuri na nyumba nzuri wewe unanufaika nao vipi?ni aibu kwa mwanaume kuwa na fikra mfu kiasi hicho,toa hoja za kujenga mkuu...shame!
