Changamoto gani?...Uko sahihi mkuu. Nina rafiki yangu amehamishiwa Dodoma. Kule anasema maisha hayana changamoto kabisa ameamua kuacha kazi na sasa anaendelea na mishe zake hapa Jijini.
Hiyo elfu kumi dar unaipataje kirahisi?Mkoani kama huna pesa ni vigumu mno kupata pesa, tofauti na dar.
Kuipta 10000 tu mkoa ni kazi mno tofauti ukiwa hapa mjini aiseeh.
Yote kwa yote kila mtu ana jinsi yake aaminiavyo atatoboa. Mjini si kila mtu katoboa kuna wanaokwama na wanaofanikiwa ni bongo yako tu jinsi gni unaichemsha.
inategemea na mahali unapokaa kuna watu wanachukua masaa hata matatu kwenye foleni... Dar kero tupuHio ni wewe na mipangilio yako. Mimi naondoka saa mbili asubuhi saa tatu kasoro niko kibaruani. Kurudi hivyo hivyo 45mins tu.
Katika utafito wa NBS Mwanza ni moja ya mikoa yenye maisha ya dhiki kwa wakazi wake hapa nchini.Nani kakudanganya wewe hivi ulishafika kwanza Mwanza au unasikiliza story za vijiweni wewe , halafu unajifanya mjanja na swali langu hujajibu nimwkwambia nionyeshe maeneo ya jiji la mwanza yaliyo ovyo kama ya Dar umeshindwa
Na kwa taarifa yako Mwanza hayo mapanki unayoyasema hayaliwi na binadamu acha ushamba vitu vingine uwe unauliza ,hayo mapanki ni chakula cha mifugo
Mwanza inasifika kwa kitoweo safi cha samaki wa Sato na Sangara sisi hatuli takataka kama mnazokula nyie wa Dar , mnakula vibua na vitu vya ajabu ajabu halafu mnaita samaki
Mwanza life ni cheap sana kwa kila kitu kuanzia malazi , usafiri na chakula
Karibu sana mkuu hutajutia kuishi Rock City , ukiwa mchapa kazi tu probability ya kutoboa ni kubwa sana
inategemea na mahali unapokaa kuna watu wanachukua masaa hata matatu kwenye foleni... Dar kero tupu
ArushaNionyeshe mkoa ambao watu wake wanaishi maisha matamu nikuoneshe saiti zenye dhiki katika mkoa huo.
Nilikaa miaka miwili na nusu mikoani lakini sikuwahi ona jambo la maana hela zenyewe hakuna, yani watu hawanywi hata soda aisee na wakinywa soda ni kwenye sherehe aisee, tangu nirudi Daslama nateleza tu kama maji...





hawanywi sodasiku hizi heshima pesa.... we rudi mkoani huna pesa uone kama kuna mtu atakuwa na time na wewePenye watu wengi kuna fursa,pesa na matumizi mengi ya pesa. Katika maeneo haya watu wengi hishindana kuona na kuanzisha fursa ili kuendana mtindo wa maisha wa eneo hilo. Wengi wanaotoka nje ya dar hushangaa jinsi vijana wa dar wanaopanga kweny nyumba nzuri ambazo mkoani ni za viongozi na taasisi. Huishia kushangaa acces ya nguo nzuri kwa bei nzuri na vitu vingine vizuri. Kuishi dar unapaswa kuwa mbunifu, mchapakazi na jasiri. Wanaokimbia dar lazima watatunga vijisababu ili kujifariji kwa kushindwa kwao. Kuishi dar tu ukawa na uwezo wa kulipia bills za maisha sio kazi rahisi. Ndo maana tukirudi mikoani tunaheshimika kuliko nyinyi mliorudi na kunyoosha mikono mmeshindwa.
Dah ! Aisee , hayaKatika utafito wa NBS Mwanza ni moja ya mikoa yenye maisha ya dhiki kwa wakazi wake hapa nchini.
Sitake kufanana na wengine mkuu.Wewe umemudu hayo maisha kutokana na aina ya shughuli unayofanya,pia bila shaka huko ulikuwa na vitu vingi ulivyosaidiwa na ndugu au wazazi.Kama ni biashara Dsm inashawishi zaidi kuliko mikoani maana wateja ni wengi zaidi na ongezeko la faida ni la haraka.Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Arusha si ndiyo kuna sehemu watu wanachangia maji kwenye madimbwi pamoja na ng'ombeArusha
Pole mkuu, joto kali ni kuanzia December, ila miezi hii na kurudi hadi wa sita hali sio mbaya. Foleni ni sifa ya jiji lolote kubwa si London,si New York....labda ukae huko huko mikoani na vijijini. Ku-relax ni mipangilio yako tu.Dar kinachokera ni foleni na lile joto..Yaani muda wote akili iko juu juu tu huna muda wa kurelax...
Mwanza nalo ni jiji kwani? Umeshajibiwa Kwa takwimu za NBS Mwanza wanaishi Kwa maisha ya dhiki hata Pato lake ni dogo ukilinganisha na DarNani kakudanganya wewe hivi ulishafika kwanza Mwanza au unasikiliza story za vijiweni wewe , halafu unajifanya mjanja na swali langu hujajibu nimwkwambia nionyeshe maeneo ya jiji la mwanza yaliyo ovyo kama ya Dar umeshindwa
Na kwa taarifa yako Mwanza hayo mapanki unayoyasema hayaliwi na binadamu acha ushamba vitu vingine uwe unauliza ,hayo mapanki ni chakula cha mifugo
Mwanza inasifika kwa kitoweo safi cha samaki wa Sato na Sangara sisi hatuli takataka kama mnazokula nyie wa Dar , mnakula vibua na vitu vya ajabu ajabu halafu mnaita samaki
Mwanza life ni cheap sana kwa kila kitu kuanzia malazi , usafiri na chakula
Karibu sana mkuu hutajutia kuishi Rock City , ukiwa mchapa kazi tu probability ya kutoboa ni kubwa sana
Tatizo ni huyo mwenye kajumba anaposema mwenzie kapanga na maisha ye katoboa.Tena anaanzisha na thread kuwa watu waache kupanga waende kuishi kama yeye anavyoona inafaa. By the way kati ya vipofu mwenye chongo huonekana mfalmeMan kupanga sio tatizo wala kukaa kwa shem wako sio tatizo....tatizo ni wew kumcheka na kumponda mwenye kajumba kadogo wakati ni ya kwake na amejenga kwa jasho lake. Unaambiwa bachela hutakiwi kuchangia chochote kweny mkutano wa wenye ndoa zao. Ivo ivo pia...mwenye gari la kuazima hana sauti anapokutana na wenzake wanaomiliki pikipik zao
umenifurahisha lolsasa hata kuandika kwenyewe mtihani hiyo Dar ungeiweza kweli?
Umefurahi kusikia hawanywi soda mpaka sikukuu...au umekumbushwa mbali?hawanywi soda
Tatizo watu mmekariri maishaMan kupanga sio tatizo wala kukaa kwa shem wako sio tatizo....tatizo ni wew kumcheka na kumponda mwenye kajumba kadogo wakati ni ya kwake na amejenga kwa jasho lake. Unaambiwa bachela hutakiwi kuchangia chochote kweny mkutano wa wenye ndoa zao. Ivo ivo pia...mwenye gari la kuazima hana sauti anapokutana na wenzake wanaomiliki pikipik zao
Popote pale waweza ishi miaka nenda rudi na usiwe na mafanikio hata kidogo.Kuna sehemu Kijiji kizima wameshindwa kujenga choo cha zahanati.Kumbe wengi sasa hivi mmeshajua hii kitu...Dsm unaweza ishi miaka mingi lkn usiwe na mafaniko hata kidogo!