FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,273
- 41,062
- Thread starter
- #101
Kunaile unafungulia maji na sabuni kwa kukanyaga pedal kama breki na clutch ya gari, teknolojia hii ni vema tukawasogezea huko pengine wataacha kufa kama nzi🤣🤣🤣 kwa kweli we needed this to cheer us up
Tuwapelekee hii technology hasa ile ya kufungua koki kwa mlio wa simu,ni super.