Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

🤣🤣🤣 kwa kweli we needed this to cheer us up

Tuwapelekee hii technology hasa ile ya kufungua koki kwa mlio wa simu,ni super.
Kunaile unafungulia maji na sabuni kwa kukanyaga pedal kama breki na clutch ya gari, teknolojia hii ni vema tukawasogezea huko pengine wataacha kufa kama nzi
 
Kwahiyo wanabomba la maji tiririka na sabuni kila baada ya mita tatu nje ya kila jengo, duka na ofisi?
Ndiyo maana nakuambia wewe unafikiri kila sehemu ziko kama Bongo, tena huko Gongo la Mboto unakoishi. Uweke maji kila baada ya mita tatu si utakuwa idiot wa kupindukia! Wewe uelewa wako unaishia huko Bongo kuliko na viduka na vibiashara vidogo vidogo kila baada ya mita moja na kila mtu ameweka maji machafu kwenye ndoo na sabuni ambayo hata siyo maalumu kwa kunawia mikono!
 
Uliwasearch wote mifukoni mwao ukaviona hivyo visanitizer au umetumia uchawi gani?
Boss naongelea sehemu nayoishi ambayo corona pia ipo kwa kiwango cha juu ila movement zipo kama kawaida hivyo kila sehemu yenye store kuna discount kubwa tu ya vi-sanitizer.

Kuna group letu la Xiaomi user Tz Telegram niliweka picha huku mambo ni mswano, na kujisafisha na sanitizer sio jambo la kutangaziana hovyohovyo kila mtu anamlinda mwenzie anafahamu afanye nini.

Pia huku sasa hivi ni kipindi cha baridi kali tunacheza mpira kwenye mabarafu hivyo gloves tunavaa karibu muda wote.
 
Fahamu kwamba nchi kumi bora zenye mazingira bora ya kujisafisha zinatoka Ulaya na nchi kumi zenye hali mbaya ya mazingira ya kujisafisha zinatoka Africa.
Kwahiyo wanakata mikono yao kwa shoka kisha wanampa mwenye jengo, duka au ofisi ili aingie nayo ndani akaioshe halafu anawarudishia wanaishona kisha ndio wanaingia ndani ya jengo? Au wanafanya uchawi upi? Na mpita njia ambae hana nia ya kuingia kwenye jengo ila anataka ajitakase nae anafanya process hiyo ya kukata mikono kwa panga na kumkabidhi mwenye jengo akamuoshee ndani kisha amrudishie?
 
Acha ushamba wewe. Unafikiri wanaposema kunawa mikono basi mtu anatembea barabarani huku akinawa! Nchi zilizoendelea watu hawazagai kama huko madongokuinama unakoishi! Ukiingia majengo ya public kuna rest room za kutosha. Maduka na migahawa yote yana rest room na sanitizers (ambazo wewe umezijua baada ya korona kuingia kumbe zinatumika siku nyingi) zimewekwa kwenye entrance na exist. Kwa ujumla ni shida kueleshwa na ukaelewa kwa sababu hujafika majuu.
Kwahiyo kila baada ya mita tatu nje ya kila jengo, ofisi na duka wana koki za maji na sabuni?
 
Ndiyo maana nakuambia wewe unafikiri kila sehemu ziko kama Bongo, tena huko Gongo la Mboto unakoishi. Uweke maji kila baada ya mita tatu si utakuwa idiot wa kupindukia! Wewe uelewa wako unaishia huko Bongo kuliko na viduka na vibiashara vidogo vidogo kila baada ya mita moja na kila mtu ameweka maji machafu kwenye ndoo na sabuni ambayo hata siyo maalumu kwa kunawia mikono!
Kwahiyo wanayo huduma hii ya kunawa mikono kwa sabuni bure barabarani kila baada ya mita tatu nje ya kila jengo, duka na ofisi?
 
Boss naongelea sehemu nayoishi ambayo corona pia ipo kwa kiwango cha juu ila movement zipo kama kawaida hivyo kila sehemu yenye store kuna discount kubwa tu ya vi-sanitizer.

Kuna group letu la Xiaomi user Tz Telegram niliweka picha huku mambo ni mswano, na kujisafisha na sanitizer sio jambo la kutangaziana hovyohovyo kila mtu anamlinda mwenzie anafahamu afanye nini.

Pia huku sasa hivi ni kipindi cha baridi kali tunacheza mpira kwenye mabarafu hivyo gloves tunavaa karibu muda wote.
Kwahiyo unaweza kushika kinyesi na gloves kisha ukajishika kwenye macho na macho yasipatwe na kinyesi, ni gloves za aina gani hizo?
 
Wao wako kwenye teknolojia za kusense ndio waliokuleta vikausha mikono vya upepo!
Kunaile unafungulia maji na sabuni kwa kukanyaga pedal kama breki na clutch ya gari, teknolojia hii ni vema tukawasogezea huko pengine wataacha kufa kama nzi
 
Fahamu kwamba nchi kumi bora zenye mazingira bora ya kujisafisha zinatoka Ulaya na nchi kumi zenye hali mbaya ya mazingira ya kujisafisha zinatoka Africa.
Kwahiyo ndio wanakata mikono na chainsaw halafu inaenda kuoshwa ndani ndio chanzo cha kuingia kumi bora?
 
Back
Top Bottom