FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
- Thread starter
- #81
Kwahiyo wanabomba la maji tiririka na sabuni kila baada ya mita tatu nje ya kila jengo, duka na ofisi?Kuna ndoo kwa sababu hakuna bomba. Nchi zilizoendelea kila sehemu ni bomba. Na zaidi njia kuu ya kuenea kwa virus wa korona ni msongamano. Hata unawe kila sekunde kama upo kwenye msongamano ni bure. Tanzania imeamua kufanya usanii kwenye kukabiliana na virus. Wamechagua njia rahisi ya kunawa mikono na wakakwepa njia ngumu ya kuepuka misongamano. Hii ni hatari sana.