Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,885
- 109,979
Acha kujidanganya wewe, umeshafika mji Mkongwe Zanzibar?Ukiielewa mitaa ya kariakoo hakuna kitu utashindwa kuelewa
Vile chochoro vyake vinaitwa msitu wa Zanzibar.
Mtu anayevijuwa vichochoro vile dunia mzima anatobowa.