Madaga
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 563
- 736
1. Bamaga ipo Mtaa wa Mwenge, Kata ya Kijitonyama, Wilaya ya KinondoniHivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
2. Hongera Bar ipo Mtaa wa Mpakani 'A' Kata ya Kijitonyama
3. Chuo cha Ustawi wa Jamii kipo Mtaa wa Mpakani 'A' Kata ya Kijitonyama
4. ITV ipo Kata ya Mikocheni
5. Kituo cha Sayansi kipo pande zote, Kijitonyama na Mikocheni, ule upande wa Rose Garden ndio Mikocheni
6. Ufukwe wa Coco Beach upo Mtaa wa OysterBay Kata ya Msasani