gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,028
- 16,046
Yaani pale ukiwa polisi ukikojoa mkojo unafika namangaOysterbay Police ipo Oysterbay lakini Namanga ipo Msasani 😂😂😂
Yaani pale ukiwa polisi ukikojoa mkojo unafika namangaOysterbay Police ipo Oysterbay lakini Namanga ipo Msasani 😂😂😂
Kinondoni ni mkwajuni tu kushuka moscowMasaki ipo Kinondoni, Oysterbay ipo Kinondoni, ila utasikia mtu anakwambia siwezi kaa kinondoni nakaa oysterbay upepo unqpovuma 🤣
Kuna Kinondoni wilaya, Kinondoni jimbo la uchaguzi na Kinondoni kitongoji.Masaki ipo Kinondoni, Oysterbay ipo Kinondoni, ila utasikia mtu anakwambia siwezi kaa kinondoni nakaa oysterbay upepo unqpovuma 🤣
Lakini zote zipo chini ya kinondoni wilayaKuna Kinondoni wilaya, Kinondoni jimbo la uchaguzi na Kinondoni kitongoji.
Watu wakisema wanapokaa, hawasemi wilaya, wanasema kitongoji.Lakini zote zipo chini ya kinondoni wilaya
Agrey na Likomanarung'ombe na kongo
Utasikia tupo mataa wa sikuku na Agrey hapo ndio utajua kariakooo ina vuruga kichwaIle mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Kinondoni Studio ndio jina lake.Ipo Mwananyamala
🤣 Dah hii nchi ngumu sanagongo lamboto na gomsi
Halafu pale TAZARA ni Buguruni...Mandela rd...Nyerere rd...Pugu rd...Tmk....au Vingweta?Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
Sasa kama Dar unapotea,New York au London utaweza hata kuvuka barabara kweli?Uko mimi natafutaga tour guide,,, pekee yangu siwezi huo mji
Ukiielewa mitaa ya kariakoo hakuna kitu utashindwa kuelewaIle mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
mafia na jangwaniAgrey na Likoma
Mitaa ya kariakoo inatenganishwa kwa barabaraIle mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Tandamuti na msimbazimafia na jangwani