Damu ya mtu hunuka

Damu ya mtu hunuka

Niliwahi kusikia kwamba hata ikitokea mtu ameliwa na simba kwenye kijiji Fulani basi ni lazima huyo simba atafutwe na auliwe kwa maana ni lazima tu atarudi tena na tena na kuua watu eneo hilo. Ufafanuzi mkuu
 
Niliwahi kusikia kwamba hata ikitokea mtu ameliwa na simba kwenye kijiji Fulani basi ni lazima huyo simba atafutwe na auliwe kwa maana ni lazima tu atarudi tena na tena na kuua watu eneo hilo. Ufafanuzi mkuu
Ukishaonja nyama ya binadamu utatamani zaidi na zaidi
 
Duuu...hatareee aisee
Hawa watu hutofautiana jinsi ya kuua..baadhi hupenda kufanya mauaji ya kutisha kama haya
41293b16a67472cf33531b818a6f9537.jpg
8a0c3bfce7e4fbdf0ec0754ffb4abaaa.jpg
 
Kama alipelekwa kwenye mahabusu ya magereza zetu hizi,basi walimpeleka kumshape product ambayo inaweza kuja kuwa muuaji tishio
Simuombei mabaya Rama, simtakii mabaya mimi kama mzazi natamani kusikia kesi yake iliisha na sasa ni kiumbe kipya kabisa! Raia mwema mtaani
Alitoka magereza hope this year. Nilisikia akihojiwa alijibu kuwa that day ni zile dawa za kumzuia asionekane wakati amebeba vichwa zilikosewa. Naamini hataacha. Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijijini kwetu kuna jamaa wawili walishiriki kumuua mtu kwa kumtuhumu wizi wa mtambo (pipa) wa kupikia piwa almaarufu gongo (chang'aa kwa Kenya). Alieibiwa ndie aliemnyongea majini mpaka akafa, mpambe akambeba na weelbarrow usiku akaenda kumlaza marehemu geto kwake ili ieleweke alikunywa akazidiwa akafa, ilichukua siku 3 majirani kuhisi harufu na hatimae mwili kugundulika.
BAADA YA MWAKA 1. Aliemnyoga marehemu aliuwawa kwa kunyongwa majini mtoni alipokuwa anajaribu kupora baiskel mpaka akafa.
BAADA YA MIAKA 5. Alimbeba marehemu na weelbarrow na kumpeleka geto kwake hatimae maiti kugundulika siku ya tatu, mwili wake uligundulika siku ya 3 geto baada ya inzi wa chooni kuonekana kujaa dirishani na harufu kali tokea chumbani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom