Damu ya mtu hunuka

Yule DOGO kashatoka jela tangu 2012 kitu kama coz alipelekwa milembe kupimwa hakili akaonekana hayuko sawa nilimuona wakati nipo kule jela ,:n,b usiulize jela nilikuwa nafanya nn.
Mirembe?
 
Serial killer? Spree killer? Tuwe macho na hawa watu. binafsi mtaani tupo naye jamaa ana historia mbaya sana, ni tishio na mtaa mzima anaogopewa. binafsi yangu nimeshuhudia mauaji yake mawili. aliua mtu kwa shoka kipindi cha miaka 6 nyuma na 2015 kaua mtu mwengine kwa shoka hiyo hiyo.
 
Kuna majibu ya maswali mengi hapa hasa kwa wale wanaotatizwa na lile neno la. ...na tuumbe mtu kwa mfano wetu....!
hahaha, umesema kweli. kama wangetafsiri kwamba Mungu alituumba kwa mfano wetu na kwa sura zetu, mbona ingekuwa balaa. hakuna ubishi kuna sura zingine mtoto huwa analia akiziona, na zingine mtoto anafurahia kuziona. na kuna sura mabilioni mengi ambazo hazifanani, hivyo tungesema Mungu amefanana na sura ya nani tu sasa, za wote, ana sura ya kwangu, ya wasira, ya pinda, ya kikwete, ya lowasa, ya mshana jr, ya madame b, ya n.k, ni kitu ambacho hakiwezekani.

kuna ulimwengu wa kiroho ambao hata wanadamu wanaoishi kwasasa huwa wanaweza kuoperate kiroho. mambo yote ya nguvu za giza huoperate kiroho, kuloga mtu, kumweka mtu msukule nk, ni mambo ambayo hayaonekani kwa macho ya nyama, ni katika ulimwengu wa roho, na kwamfano, uuua mwanadamu katika ulimwengu hu wa mwili yaani kumwaga damu, ni kosa. Ni Mungu tu huwa anatakiwa kumuua mtu na si mwanadamu. hivyo ukimwaga damu ya mtu hasa ile isiyo na hatia, ile damu huwa inaendelea kulia mbele za Mungu katika ulimwengu wa roho ikimlilia Mungu kwamba huyu jamaa amenimwaga bila sababu. hii husababisha mtu huyo kupatwa na laana na mashetani ya uuaji humvaa zaidi ya yale aliyokuwa nayo mwanzo, hivyo anakuwa katili zaidi ya mwanzo, anapenda kuua zaidi ya mwanzo, na lazima tu ataua wengine hadi siku atakapokamatika na yeye auawe. kumbuka damu ya habili, ililia Mungu akamlaani Kaini akawa kituko, na damu au laana hiyo inaweza kufuatilia hadi kizazi chako nao watakuwa na roho mbaya kama wewe.
 
Uchambuzi mzuri wenye kuendelea kujibu maswali mengi kwa wale wote waliokuwa wanatafuta ufafanuzi
 
Ndio mahabusu wengi wanaoshitakiwa wakiwa na matatizo au akionekana ana mapungufu yasio ya kawaida hupelekwa kwnye taasisi ya isanga iliyo chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii hupimwa akili na hutibiwa akipata afueni hurudishwa gerezani na kurudishwa alipotoka chini ya uangalizi wa jeshi la magereza nchini.
hahaha, umesema kweli. kama wangetafsiri kwamba Mungu alituumba kwa mfano wetu na kwa sura zetu, mbona ingekuwa balaa. hakuna ubishi kuna sura zingine mtoto huwa analia akiziona, na zingine mtoto anafurahia kuziona. na kuna sura mabilioni mengi ambazo hazifanani, hivyo tungesema Mungu amefanana na sura ya nani tu sasa, za wote, ana sura ya kwangu, ya wasira, ya pinda, ya kikwete, ya lowasa, ya mshana jr, ya madame b, ya n.k, ni kitu ambacho hakiwezekani.

kuna ulimwengu wa kiroho ambao hata wanadamu wanaoishi kwasasa huwa wanaweza kuoperate kiroho. mambo yote ya nguvu za giza huoperate kiroho, kuloga mtu, kumweka mtu msukule nk, ni mambo ambayo hayaonekani kwa macho ya nyama, ni katika ulimwengu wa roho, na kwamfano, uuua mwanadamu katika ulimwengu hu wa mwili yaani kumwaga damu, ni kosa. Ni Mungu tu huwa anatakiwa kumuua mtu na si mwanadamu. hivyo ukimwaga damu ya mtu hasa ile isiyo na hatia, ile damu huwa inaendelea kulia mbele za Mungu katika ulimwengu wa roho ikimlilia Mungu kwamba huyu jamaa amenimwaga bila sababu. hii husababisha mtu huyo kupatwa na laana na mashetani ya uuaji humvaa zaidi ya yale aliyokuwa nayo mwanzo, hivyo anakuwa katili zaidi ya mwanzo, anapenda kuua zaidi ya mwanzo, na lazima tu ataua wengine hadi siku atakapokamatika na yeye auawe. kumbuka damu ya habili, ililia Mungu akamlaani Kaini akawa kituko, na damu au laana hiyo inaweza kufuatilia hadi kizazi chako nao watakuwa na roho mbaya kama wewe.
 
green river killer, huyu jamas alikua ni balaa
Aisee kaua 48
9fcb51c8e1fa72d90efcdd28461a0a96.jpg
01f852192494f5247121ca9ca4bdccc0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom