Damu ya mtu hunuka

Damu ya mtu hunuka

Iwanukie sana tu mpaka wajitaje enyewe kuomba utakaso, tena damu ya mttezi wa wanyonge, haahaaaaa, inanuka haswa.
 
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Ila mshana junior mi nakushangaa sana, m nakuona mtu makin sana , kwañn usijitokeze hadharan umati kukajua kwa uchambuzi wako huu mzuri,? M nadhani huu umaarufu mkubwa ulionao ndani ya hili jamvi , siku ukianza kujiweka hadharan taifa likakujua kama tunavokujua sisi huku ndani,,,, haki ya mungu utakua zaidi ya EDO KUMWEMBE
 
Asante Mzunde ila JF inatosha

Jr
 
.
tapatalk_1519379278372.jpeg
 
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Mkuu,
Umenikumbusha Kitabu kiitwacho "Bado Mmoja" kikiwa na mauaji mfululizo na kila ilipokutwa maiti ya mtu pembeni yake kulikuwa na karatasi yenye tangazo "bado mmoja"
Mauaji hayo yalikuwa yakifanywa na MTU aitwaye "Marcus Sayuki"
 
Nakumbuka kukisoma hiki kitabu
 
Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sana
Kuna mmoja alikuwa akiua makahaba kwenye guest house hasa Keko. Sijui aliishia wapi
 
Kuna movie inaitwa SIMON SAYS jamaa anauwa sana humu ndani.Kisa kilianza anacheza na pacha mwenziwe porini akakasirika akampiga akamuuwa.Kurudi home kajaa damu wazazi kumuuliza nao kawauwa akiwa mdogo tu.Basi tangia hapo ye ni kuuwa tu.
 
Back
Top Bottom