Niliwahi kusikia kwamba hata ikitokea mtu ameliwa na simba kwenye kijiji Fulani basi ni lazima huyo simba atafutwe na auliwe kwa maana ni lazima tu atarudi tena na tena na kuua watu eneo hilo. Ufafanuzi mkuu
Ufafanuzi ni huu
Nyama ya binadamu inasemekana huwa ni tamu sana sababu ni carnivore yaani anakula mimea na wanyama.Ndio maana kitimoto ni tamu mno dhidi ya wanyama walao majani.
Nyama ya binadamu ina chumvi chumvi kutokana na chumvi tulazo na vyakula tulavyo.
Simba akishaionja atataka arudie tena.
Ila sasa kwa kawaida simba hana time na binadamu hata kidogo.Ukiona Simba ameingia kijijini utakuta ni yule ambaye amekuwa mzee hatakiwi kwenye pride na hata nguvu za kuwinda mikiki yake kukimbia mfano kumkimbiza Mr Kasongo(Ngiri) ni kipengele kwake.
Sasa mnyonge wake ni binadamu.Simba hata akiwa mzee binadamu kwake bado ni dhaifu anaweza mkabili.
Ma game wanachofanya wakianza kumuwinda wanapiga hesabu toka binadamu huyu aliwe let say one week atakuwa na njaa tena wataanza kumuwinda.
Wanakwenda maporini gem mmoja anatangulia kama chambo wengine wakiwa na mitutu.Simba yule aliyeua mtu atakuwa wa kwanza kujitokeza hata kama atakuwa na wenzake basi huyu ndio wanamshughulikia haraka sana.
Mungu azilaze kwa amani roho za marehemu wote ambao walikuwa raia wasio na hatia, waliouawa katika maandamano ya kudai haki kufuatia uchaguzi wa "KISHETANI" uliojaa udhalimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.