Damu ya mtu hunuka

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,316
Points
2,000
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,316 2,000
Hata Simba wanasimuliana kutokuuana wenyewe kwa wenyewe lakini watabariki kuua Swala pamoja na watu.

BTW napingana na mauaji ya watu....'R.I.P Sokoine@Mawazo@Nyerere@Karume@DrMvungi na mashujaa wote waliotutangulia mbele za haki'.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Kwa hiyo Mshana ni kama vile aikishaua hupata laana ya milele mkuu, na umuamlisha kutaka kuua tena?
Ni kitu kama hicho na nafsi zao huwaadhibu kwa namna tofauti hivyo hutamani kuua hata kwa silaha yoyote mpaka meno hutumika
 
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
5,704
Points
2,000
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2011
5,704 2,000
Mshana jr. Kuna mauaji mengine hufichwa kupitia majanga tofauti tofauti kv ajali barabarani, radi nknk. Na hii pia damu yake hunuka?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Mshana jr. Kuna mauaji mengine hufichwa kupitia majanga tofauti tofauti kv ajali barabarani, radi nknk. Na hii pia damu yake hunuka?
Haya ni mambo ya giza ushirikina na uchawi ndio maana ukifanya kwa njia hiyo ni lazima kila mwaka umwage/utoe damu nyingine
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,366
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,366 2,000
Nimesoma baadhi ya makala za serial killers, Ted Bundy aliamua kuua baada ya kuachwa na mpenzi wake hata wahanga wake walikua ni wanaoendana kimuonekano na aliyekuwa mpenzi wake, nyakati nyingine alikaa na maiti kwa muda mrefu akiendelea kuiingilia (necrophilia). Kuna Andrei Chikatilo uhanithi wake mbele ya wanawake aliulipizia kwa kua mbabe mbele ya wavulana wadogo huku akiwabaka pia hata baada ya kufa aliendelea kuwaingilia au kupiga puchu (necrophilia).

Stori ndefu iwe fupi. Baadhi ya Serial killers huwa wanavutiwa na wao kujiona kama Mungu kwamba wanaamua nani aishi na nani asiishi (serial killers madaktari wana tendency hii).
Wengine hupendelea jinsi wanavyozungumziwa midomoni mwa watu na vyombo vya habari mfano Dennis Rader a.k.a BTK.
Wengine huinjoy ile scenario na kuwapandisha ashki mfano Andrei Chikatilo na David Berkowitz.

Aliyepoint kua anavutiwa na damu ni mmexico mmoja (jina limenitoka) na Charles Manson. Hawa walikua wana mawazo ya kishirikina wote walitaka kuunda followers wengi ambao watafuatisha imani na mitazamo yao bila kupinga.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Picha zimenikumbusha ile story ya Rama mla vichwa,sijui kesi yake iliishiaga wapi.
Kama alipelekwa kwenye mahabusu ya magereza zetu hizi,basi walimpeleka kumshape product ambayo inaweza kuja kuwa muuaji tishio
Simuombei mabaya Rama, simtakii mabaya mimi kama mzazi natamani kusikia kesi yake iliisha na sasa ni kiumbe kipya kabisa! Raia mwema mtaani
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Nimesoma baadhi ya makala za serial killers, Ted Bundy aliamua kuua baada ya kuachwa na mpenzi wake hata wahanga wake walikua ni wanaoendana kimuonekano na aliyekuwa mpenzi wake, nyakati nyingine alikaa na maiti kwa muda mrefu akiendelea kuiingilia (necrophilia). Kuna Andrei Chikatilo uhanithi wake mbele ya wanawake aliulipizia kwa kua mbabe mbele ya wavulana wadogo huku akiwabaka pia hata baada ya kufa aliendelea kuwaingilia au kupiga puchu (necrophilia).

Stori ndefu iwe fupi. Baadhi ya Serial killers huwa wanavutiwa na wao kujiona kama Mungu kwamba wanaamua nani aishi na nani asiishi (serial killers madaktari wana tendency hii).
Wengine hupendelea jinsi wanavyozungumziwa midomoni mwa watu na vyombo vya habari mfano Dennis Rader a.k.a BTK.
Wengine huinjoy ile scenario na kuwapandisha ashki mfano Andrei Chikatilo na David Berkowitz.

Aliyepoint kua anavutiwa na damu ni mmexico mmoja (jina limenitoka) na Charles Manson. Hawa walikua wana mawazo ya kishirikina wote walitaka kuunda followers wengi ambao watafuatisha imani na mitazamo yao bila kupinga.
Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sana
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,366
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,366 2,000
Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sana
Mimi naamini wapo ila udogo wa teknolojia na jeshi ambalo lipo equiped kwa zana za kazi ndiyo vinapelekea kutojua kama wapo au la. Pia ubovu wetu katika kuweka rekodi nao unachangia sana.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,398
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,398 2,000
Mimi naamini wapo ila udogo wa teknolojia na jeshi amabalo lipo equiped kwa zana za kazi ndiyo vinapelekea kutojua kama wapo au la. Pia ubovu wetu katika kuweka rekodi nao unachangia sana.
Nakubaliana nawe katika hili na ndio maana tunapoandika mada kama hizi rejeo zetu za picha na mifano tunanakili kwa wenzetu
 
Mshkaji alikuwa level nyingine

Nakubaliana nawe katika hili na ndio maana tunapoandika mada kama hizi rejeo zetu za picha na mifano tunanakili kwa wenzetu
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
11,627
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
11,627 2,000
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Ni kweli mkuu inanuka tena sana kama ya fisi!!
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,366
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,366 2,000
Serial killer ni watu wa namna gani wakuu.... nipeni mwanga kidogo
Serial killer anakua ni muuaji ambaye kutoka kutimiza tukio moja mpaka jingine kunakua na muda hapo kati kati, yaweza kua miezi au hata mwaka au miaka ila anakua anatumia njia moja tu kuua mfano mwningine atatumia shoka, mwingine kukata kata, mwingine bastola ila wapo ambao walichanganya njia za kutekeleza uovu wao.

Ikatokea muuaji haachi interval hapo kati au interval yake ni ndogo sana mfano wiki, huyu huitwa spree killer.
 
Forum statistics

Threads 1,335,345
Members 512,308
Posts 32,503,073
Top