Damu ya mtu hunuka

Damu ya mtu hunuka

Alitoka magereza hope this year. Nilisikia akihojiwa alijibu kuwa that day ni zile dawa za kumzuia asionekane wakati amebeba vichwa zilikosewa. Naamini hataacha. Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumuombee sana amefahamu mambo makubwa magumu katika umri mdogo sana.... Watu wanapopinga tena kwa nguvu kabisa kuwa hakuna uchawi hua nawaangalia kwa mshangao sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijijini kwetu kuna jamaa wawili walishiriki kumuua mtu kwa kumtuhumu wizi wa mtambo (pipa) wa kupikia piwa almaarufu gongo (chang'aa kwa Kenya). Alieibiwa ndie aliemnyongea majini mpaka akafa, mpambe akambeba na weelbarrow usiku akaenda kumlaza marehemu geto kwake ili ieleweke alikunywa akazidiwa akafa, ilichukua siku 3 majirani kuhisi harufu na hatimae mwili kugundulika.
BAADA YA MWAKA 1. Aliemnyoga marehemu aliuwawa kwa kunyongwa majini mtoni alipokuwa anajaribu kupora baiskel mpaka akafa.
BAADA YA MIAKA 5. Alimbeba marehemu na weelbarrow na kumpeleka geto kwake hatimae maiti kugundulika siku ya tatu, mwili wake uligundulika siku ya 3 geto baada ya inzi wa chooni kuonekana kujaa dirishani na harufu kali tokea chumbani.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh karma haukuwachelewesha karma is bitch wanavyosema kwa lugha ya malkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli
ben amekatishwa uhai ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
IMG-20170907-WA0103.jpg
IMG-20170907-WA0091.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serial killer anakua ni muuaji ambaye kutoka kutimiza tukio moja mpaka jingine kunakua na muda hapo kati kati, yaweza kua miezi au hata mwaka au miaka ila anakua anatumia njia moja tu kuua mfano mwningine atatumia shoka, mwingine kukata kata, mwingine bastola ila wapo ambao walichanganya njia za kutekeleza uovu wao.

Ikatokea muuaji haachi interval hapo kati au interval yake ni ndogo sana mfano wiki, huyu huitwa spree killer.
Nlikuwa sijui hata Spree killer Ni nani..asante.
 
Mkuu halafu kwa hali hii dawa ni kuandaman tu kama kupiga riasasi atuue tu wote mie ntashangaa sana kama hili nalo litapita bila raia wapenda haki kuoneshakupinga kwa maandamano.
 
Back
Top Bottom