Damu ya mtu hunuka

Serial killer anakua ni muuaji ambaye kutoka kutimiza tukio moja mpaka jingine kunakua na muda hapo kati kati, yaweza kua miezi au hata mwaka au miaka ila anakua anatumia njia moja tu kuua mfano mwningine atatumia shoka, mwingine kukata kata, mwingine bastola ila wapo ambao walichanganya njia za kutekeleza uovu wao.

Ikatokea muuaji haachi interval hapo kati au interval yake ni ndogo sana mfano wiki, huyu huitwa spree killer.
Asante nimepata tofauti ya serial killer na spree killer
 
85fa5a8e2548ed18c97791e51b694c61.jpg

Asante nimepata tofauti ya serial killer na spree killer
 
Umenimbusha tv show flani inaitwa dexter itabidi ni irudie tena ,,,, maana jamaa anaua vizuri sana sijawahi ona...
 
Serial killer anakua ni muuaji ambaye kutoka kutimiza tukio moja mpaka jingine kunakua na muda hapo kati kati, yaweza kua miezi au hata mwaka au miaka ila anakua anatumia njia moja tu kuua mfano mwningine atatumia shoka, mwingine kukata kata, mwingine bastola ila wapo ambao walichanganya njia za kutekeleza uovu wao.

Ikatokea muuaji haachi interval hapo kati au interval yake ni ndogo sana mfano wiki, huyu huitwa spree killer.
Shukrani mkuu...
Hasa akiua hakamatwi na kufungwa au inakuaje mpaka inajirudia hiyo interval
 
Serial killers wengi hua wanaonesha dalili za kua walaghai, na wenye uwezo wa kumanipulate mazingira na hata watu pia serial killers ni watu ambao tunao majumbani ni wake, mama, wame na baba zetu hivyo hadi kujulikana hua inakua ngumu mfano John Wayne Gacy.

Ukiachilia hivyo kuna wengine hua wanaua huku wanahama eneo kwahiyo hadi uje kukusanya clues za kumkamata inakua ngumu.
 
Tuna ibilisi ndani yetu, ibilisi mwenye kutupa fikra hasi za kufanya mambo mabaya hasa kwa adui zetu na wale wanaotukera na kutudhihaki
Ikatae hii roho! Ikemee! Ukiipa tu nafasi utaingia kwenye safari ambayo mwisho wake daima ni mbaya
faad9199ca99bda2dc9eca225dedb5d3.jpg
ukianza na mmoja utatamani uendelee na kuendelea na kuendelea
ec5be3e8dbf90a7187e9bd1d7d2a0b6e.jpg
ni aina fulani ya kiu na hamu ya kushangaza mno
 
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
utofauti wa mnyama na binadamu ni kwamba, binadamu ni roho, wakati mnyama sio roho, ni kitu tu, ndio maana ya kufanana na Mungu kwasababu Mungu ni roho hivyo anaoperate kiroho so is satan. mwanadamu hata akifa kimwili, huu mwili ni udongo tu, kuna roho huwa haifi na hiyo ndiyo inaenda kunakotakiwa kwenda. hata wanaofanya uchawi, huwa wanaoperate kiroho, wanaoua kiroho huwa wanaua kiroho, kuna ulimwengu wa roho ambao ni mwanadamu, mashetani na Mungu ndio huwa wanaweza kuwepo huko. wanyama hawapo huko ndio maana inasemekana Mungu alituumba kwa mfano wake, haimaanishi tuna nguvu au tunafanana sura hapana, tunafanana naye kwasababu sisi pia ni roho kama alivyo yeye.
 
Kuna majibu ya maswali mengi hapa hasa kwa wale wanaotatizwa na lile neno la. ...na tuumbe mtu kwa mfano wetu....!
 
Yule DOGO kashatoka jela tangu 2012 kitu kama coz alipelekwa milembe kupimwa hakili akaonekana hayuko sawa nilimuona wakati nipo kule jela ,:n,b usiulize jela nilikuwa nafanya nn.
 
Kuna ukweli.

Mara nyingi Wauaji wanakuwa wana matukio mengi sana mfululizo ya Kufupisha Maisha ya Binadaam wenzao
 
Kiongozi weka tahadhari.

Picha zinatisha sana.

Kwa wale wenye mioyo myepesi unaweza usiwalishe tena Nyama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom