Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Mkuu mimi nimeamua kukuwekea hapa ukweli.Haya munayoyasema na kuyahofia yote ni myths tu.Hakuna lolote lile la ukweli.Fuata hizi link:

7 Crazy Period Myths From History, Because People Once Thought Menstrual Blood Could Kill Crops


Menstruation is just blood and tissue you ended up not using
Ukweli Wa kisayansi umeelezwa hapo.
Mkuu Tuliza mshono hiyo science yako imeshindwa kuthibitishwa uwepo wa Mungu na Roho mtakatifu unayesema ana effect kwenye Maisha.

Acha kurely kwenye science ambayo inapinga kile ulichokitetea.
 
Mkuu mshana Mimi kuna jamaa angu alinambia hii n dawa ya limbwata kama mkeo kakupa limbwata ukinywa Damu yake ya hedhi unatapika uchawi wote.

Sasa kumbe n SUMU au sometimes inaweza kuwa dawa na muda mwingine SUMU?
Kuna wakati sumu pia ni tiba na kuna wakati sumu pia ni sumu ila habari za waganga wa ni kuwa nazo makini sana
 
Nitangulie kuomba radhi kwa wale watakaokereka na hii mada..Nina heshima kubwa kwa akina mama wote na privacy yao..naomba tuichukulie hii kwa muktadha wa maarifa, elimu na ufunuo wa dunia ya upande wa imani
Makuzi yetu yametulea kutufundisha kwamba damu husika ni uchafu na jambo la Siri sana... Wahusika kwenye hili hufanya ni jambo la siri huku wengine wakijichukia kabisa
Kwa dhima ya udugu wa kishetani damu ya hedhi ni kitu cha thamani kubwa kwakuwa imebeba uhai nguvu na kiwakilishi cha maisha marefu, ikijulikana kama nyota ya moto kiashiria cha mungu mwezi...kwenye ibada za kishetani alama nyekundu ni kiwakilishi cha hiyo damu na hata wale ANNUNAKI(malaika walioanguka) wanaichukulia kama dhahabu ya miungu kwa imani yao
Hedhi mzunguko wake unatawaliwa na mizunguko ya mwezi na kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya damu ya hedhi mzunguko wa mwezi na mwanamke!
Kwa wenzetu wahindi hii wanaita SOMA na Greece ikijulikana kama AMBROSIA...Tafsiri kwa muktadha wao ikiwa asali ya miungu. ...
Mwezi ni alama ya makazi ya mungu na malaika wa kike. Hivyo basi ibada yoyote inayouhusika na kunywa damu ya hedhi, hiyo ni ibada ya kuabudu mwezi kwa maana ya kumuabudu mwanamke
Hapa kuna mifakarano kwa baadhi ya wayahudi kwakuwa baadhi yao hupenda kufuata kalenda ya mwezi na hata miungu yao mingi ikiwa ni masanamu ya kike lakini wale wanaojiita Israeties wakipinga hilo kwakuwa wanaamini anayepaswa kuabudiwa ni mungu jua hivyo kuabudu mwezi ni kuruhusu kutawaliwa na mwanamke....
Tukiachana na hao hapa kwetu damu ya hedhi hutumika kutengeneza dawa za mvuto wa kimapenzi na ishu za kishirikina kufarakanisha ama hata kupatanisha...!
Vyovyote iwavyo hiki tunachodhani ni uchafu kina siri yenye nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa rohoView attachment 521928
Na wewe hiyo kitu umeshawahi kuionja Mshana nini? Dah.

Kule Uingereza mabinti wanafugwa kwa ajili ya damu zao za hedhi.Huwezi amini.
 
Na wewe hiyo kitu umeshawahi kuionja Mshana nini? Dah.

Kule Uingereza mabinti wanafugwa kwa ajili ya damu zao za hedhi.Huwezi amini.
Kwakweli siwezi kusema ndio ama la kwakuwa sometimes tnalishwa vitu vya ajabu tena na watu wetu wa karibu kabisa tunaowaamini hasa
 
Hivi kwa nini watu wengi hatufanyi tafiti juu ya yale tunayoyasikii au kuyaona? Galilei licha watu waliokuwa wamemtangulia kuwaaminisha wanadamu kuwa Dunia ilikuwa na umbile la Meza bado aliamua kufanya utafiti ili kujiridhisha. Cha ajabu,Wengi wetu Waafrika tumebaki watu Wa kuamini na kufanyia kazi Soga za zamani tu.Wazee Wa zamani walianzisha hadithi kama hizi ili kutia hamasa kazi ziende.Mfano watu wakiwa wanachambua pamba au kupukuchua Mahindi,Karanga,Njugu mawe na mazao mengine.Ila watu wengine wajanja wajanja ndio wakageuza hizo hadithi na kufanya vyanzo vya kujipatia pesa.Hao ndio wanaojiita waganga na wachawi.

Hivi damu ya hedhi ina kipi cha ziada hata itumike "kusimentisha" wapenzi? Damu ya hedhi inaundwa na seli tofauti na zile zinazokuwa kwenye damu ya kawaida hata iweze kuwa na maweza kiasi anachokisema mtoa mada? Damu ya hedhi ina upekee gani tofauti na ile inayotoka kwenye jipu linalotumbuliwa mwilini?

Damu ya hedhi ina kipi cha maana kuitofautisha na ile inayotokana na mtu kupata kidonda na kisha kikatunga usaha na hivi kutoa mchanganyiko Wa damu,majimaji na usaha?

Waafrika tumekosa nini? Hivi hatuna vyanzo vingine vya mapato tukaachana na huu ujinga Wa eti uchawi,Dawa za mapenzi.Kama Luna Dawa za mapenzi kwa nini hatujaenda kujichukulia akina Wema kilaini wakaja kwenye mageto yetu usiku kiulaini tu? Eritrea inasemekana ina mabinti wazuri sana lakini hakuna wanaume Wa kutosha kuwaoa.Kwa nini hatujatumia hiyo damu ya hedhi tukawaita hapa wakaja wenyewe tu kama watalii na wakifika huku tuwaoe?

Mkuu Inasemekana Warusi
walichelewa sana kukubaliana na mambo ya hizi IMANI lkn mwisho wa siku wakaelewa hizi mambo
anazoongelea Mshana hazihusiani na Sayansi ni vitu tofauti na vyakukariri Darasani
 
Pedi haina chochote cha ziada zaidi ya kwamba ni uchafu kama uchafu mwingine tu Wa kutupwa kwenye dustibin.Tusiwaogopeshe wamama bila sababu.Sasa mutahamia hata chupi zao kwamba nazo inabidi zihifadhiwe vizuri?Tungekuwa na maweza ya "kucheza" na chupi za wanawake kama watu wanavyoaminishwa basi Wazungu,Wachina na wengineo huko Ulaya na Marekani wasingekubali kuleta huku chupi zao walizokwisha kuvaa(mitumba) maana wangeogopa kufanyiziwa.
Kutokuamini kwamba hakuna hayo mambo haimaanishi guapo ndugu
 
Uwiiii! Ulimwengu Wa roho upi usioweza onekana nguvu zake? Kwa mfano Roho Mtakatifu haonekani lakini impact(nguvu) yake inaonekana wazi katika maisha ya mwanadamu. Alipowaingia Mitume Sikh ya Pentekoste waliweza kuongea Kiswahili wakati wao walijua Kichina pekee. Waliweza kuzungumza Kiarabu wakati hawakuwahi kuongea lugha hiyo zaidi ya Kiebrania au Kigiriki. Roho Mtakatifu anapowajilia watu nyakati zetu basi wanagundua tekinolojia za dawa,Vyombo vya usafiri, makazi, mavazi ya kupendeza na tekinolojia anuai katika nyanja nyinginezo ambapo mwanadamu hufaidika.Sasa nionyeshe maweza ya huo "ulimwengu wenu Wa roho?". Nionyeshe impact inayoonekana ya huo ulimwengu wenu Wa roho!
Hapa ndio unapochanganya mambo unawezaje Kuamini
Uwepo wa ROHO MTAKATIFU then upinge kutokuwepo wa Roho chafu
 
Mkuu Tuliza mshono hiyo science yako imeshindwa kuthibitishwa uwepo wa Mungu na Roho mtakatifu unayesema ana effect kwenye Maisha.

Acha kurely kwenye science ambayo inapinga kile ulichokitetea.
We jamaa ni jiniasi aisee . Huyu jamaa anataka kuchukua vipande vipande anavyoona vinamnufaisha kutoka kila upande. Anataka kutuaminisha kuna roho mtakatifu bila ushahidi wa kisayansi halafu hapohapo anataka kupinga ulimwengu wa giza kwa kutumia sayansi.

Kwa kweli inabidi achague upande mmoja akomae nao, vinginevyo anakuwa kama hajielewi.
 
Usiombe mwanaume uchanganyiwe damu ya hedhi + .......(mti) ktk supu na huyo mpenzi wako...utakuwa km mjusi kafiri ktk kona ya nyumba
 
We jamaa ni jiniasi aisee . Huyu jamaa anataka kuchukua vipande vipande anavyoona vinamnufaisha kutoka kila upande. Anataka kutuaminisha kuna roho mtakatifu bila ushahidi wa kisayansi halafu hapohapo anataka kupinga ulimwengu wa giza kwa kutumia sayansi.

Kwa kweli inabidi achague upande mmoja akomae nao, vinginevyo anakuwa kama hajielewi.
Watu Wengine ni wa kuchukuliana nao wamewaamini wazungu kupitiliza hapa anampinga mshana Jr simply because anaamini kuwa haya ayasemayo Mkuu n elimu ya ngozi nyeusi
 
Ndo maana ,utaweza ona pedi kibao used njia panda#kumbe mambo ndiyo haya
 
meet-the-woman-running-an-instagram-devoted-to-menstrual-blood-body-image-1442842326.png


Post sent using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom