Wasamehe bure kisha waelimishe kwa upole na hekima100% Mkuu niliwaambia kwenye Uzi wangu w uzazi w mpango w kizungu huwa wanakuwa hotel za wachawi na majini kwn wanachokitupa ni dhahabu KW wengine hasa ikiwa na kiumbe lo walibisaha sana.
Hakika na pia hawawezi kubali wote hasa upande w pili ambao ni waumini , hata ingekua mada gani nimeona ata wale wanao zungumzia ubaya mapenzi kinyume na maumbile (sodoma)lo wanaparamiwa wakati ni kitu kibaya na ni nidhairi.Wasamehe bure kisha waelimishe kwa upole na hekima
Usijali na wala usikimbilie kuwahukumu waafrika vibaya haya mambo ya ibada yamefanyika huko kwa wenzetu na kuna mengi mno hukuzingatia zaidi ya kustick na kipengele kimoja tuu ..
Nitarejea..
Wasamehe bure kisha waelimishe kwa upole na hekima
Iko hivi kila kitu kina mtiririko wake na hao hawakuacha bali waliendeleza kwa style nyingineNafahamu sana kuwa wenzetu waliwahi ku-practice "uchawi" zamani sana na baadaye wakaona ni mambo ya uongo tu na ya kuwapotozea muda.Ndiposa wakauchinjilia mbali kupitia operesheni ya chinja chinja (inquisition) kwa kila aliyejihusisha na mambo hayo.Ndio kisa Leo wameendelea hivyo.Mfano mzuri ni Wayahudi.Hawa ndo walikuwa Wa kwanza kuachana na mambo hayo.Ndio kisa Leo wanaongoza kwa uvumbuzi Wa tekinolojia mbalimbali duniani.Sasa wenzetu kujihusisha na mambo haikumaanisha kwamba hayo mambo yalikuwa na uhalisia wowote ule.
Naamini unaamini una roho he waweza nionyesha roho yako?Tun
Tunakubali kuelimishwa kwa mifano inayopita tashititi (beyond reasonable doubt).Munatumia sababu kuwa mambo ya ulimwengu wenu Wa roho hayawezi kuwa proved.Sasa ikiwa hayawezi kuwa proved ninyi huwa munayaonaje au munathibitisha vipi matokeo yake? Inakuwaje kwa mfano mtumie damu ya hedhi kuchanganya na chakula au kinywaji(vyote vinavyoonekana) halafu matokeo yake yasionekane kabisa wala kugusika kwa senses? Ni sawa hali kama hiyo inaweza kutokea.Mfano Mkate na Divai hugeuzwa kuwa mwili na damu ya Yesu lakini vyote hubakia katika umbo lile lile la awali lakini impact ya mlaji wa huo mwili na damu huja katika namna huyo mhusika anavyoishi baada ya kula na kunywa damu husika.Kuna mabadiliko ya Tabia na mienendo mpya kwa mlaji huyo.Chakula hicho humgeuza kutoka mwenendo mbaya hadi mwenendo mwema ambao jamii mwishowe lazima iuone.Sasa ninyi tunataka mutuonyeshe mifano halisi ya matokeo ya watu waliokula chakula au vinywaji vilivyochanganywa na damu ya hedhi
Iko hivi kila kitu kina mtiririko wake na hao hawakuacha bali waliendeleza kwa style nyingine
Naamini unaamini una roho he waweza nionyesha roho yako?
Naamini unaamini una akili je waweza nionyesha akili yako?
Naamini unaamini unapumua je waweza nionyesha pumzi yako!?
Tunaposema mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi maana yake hivi ni vitu viwili tofauti kabisa...
Hebu nijibu hili ninini kinafanya mpaka mimi na wewe hapa tunawasiliana!?
Je ni simu yenye chaji!?
Je ni simu yenye mtandao?
Je ni simu yenye 3G nk?
Je ni simu yenye bundle? Nk nk (simu imetumika kama kiwakilishi cha vifaa vingine vya mawasiliano!
Hebu nijibu haya Tafadhali kisha tuendelee
Naamini unaamini una roho he waweza nionyesha roho yako?
Naamini unaamini una akili je waweza nionyesha akili yako?
Naamini unaamini unapumua je waweza nionyesha pumzi yako!?
Tunaposema mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi maana yake hivi ni vitu viwili tofauti kabisa...
Hebu nijibu hili ninini kinafanya mpaka mimi na wewe hapa tunawasiliana!?
Je ni simu yenye chaji!?
Je ni simu yenye mtandao?
Je ni simu yenye 3G nk?
Je ni simu yenye bundle? Nk nk (simu imetumika kama kiwakilishi cha vifaa vingine vya mawasiliano!
Hebu nijibu haya Tafadhali kisha tuendelee
Mwez mchanga ndiyo nn mkuu?Kuna habari nyingi zisizothibitishwa kwamba wale wauguao mwezi mchanga hawapatani kabisa na mwanamke aliyeko menstruation
Kweli Asee Nimetega Ka Camera Kangu Room Hakaonekani Nikashuhudia Tendo La Tissue Kugeuzwa Chujio La Chai Nikavunga Sinywi Chai Kama Wiki Hv Chai Naandaa Mwenyewe Itakuwa Kagundua

Bado umeshindwa kujibu kabisaYumkini siwezi kukuonyesha roho yangu lakini matokeo ya mimi kkuwa na roho ni traceable.Unaweza kuona kwamba Ninafikiria.Ninaishi.Roho ikitoka nasimama kuishi.Viungo vyote vya mwili vinafanya kazi sababu roho ipo pamoja na uzima Wa kimwili.
Siwezi kukuonyesha akili yangu lakini effect itokanayo na mimi kuwa na akili inaonekana.Najua jema nabaya kwa sababu ya akilia. Naweza tofautisha huu ni uongo na ule ni ukweli.Naweza amua nifanye hivi au vile kwa kutumia akili.
Nionyesheni nanyi ya kwenu yatokanayo na ulimwengu wenu Wa roho.Hakuna jambo la ulimwengu lolote la kiroho linalohusiana au linalogusa maisha ya mwanadamu ambalo effect yake au impact yake haipimiki au haielezeki kwa senses.
Una sense vipi? Kuna kitu unashindwa kukujibu kama kilivyo matokeo yake unazunguka mbuyu na kujibu vingine....ni kama vile kuna mahali tunaachanaHali kadhalika huwezi ku-sense jinsi simu inavyofanya kazi lakini combination ya handset, bundle, network mwisho wake (matokeo ya muungano huo) huonekana katika mtu na Mtu kuwasiliana na kila mtu anaweza kuona kwa physical senses kuwa Fulani na Fulani wanawasiliana au kuona yule jamaa ni Kim Jong Un wako wanalipua Makombora.
Ninyi Wa "Ulimwengu Wa roho" tuonyesheni through physical senses matokeo ya mtu aliyevaa mfupa Wa fisi au nguruwe ili wateja wengi waje dukani kwake.Au aliyevaa hirizi kifuani ili aweze kukwepa risasi katika shughuli zake za ujambazi na mtu mwingine kweli akamfyatulia risasi kutoka katika AK 47 na kweli risasi ikadunda au huyo jambazi akatoweka ghafla hewani.
Nipeni matokeo ya mtu aliyelishwa damu ya hedhi ya mke wake ai mchumba wake na kisha mwanamke husika au mchumba husika akaja na mwanaume mwingine ndani humo ili naye aishi hapo na bado yule mlishwa "limbwata" akaendelea kutoona soo au noma sababu ya hilo limbwata la damu ya hedhi.
Usimkosoe Mwenyezi MUNGU ambaye wana wa Israel waliokuwa kwenye hedhi hawakutakiwa kufika jirani na mahala patakatifu. Au ww humuamini Mungu wa Israel?? Unavokosoa jua unajikosoa mwenyewe. Tafakari kabla ya kunenaUkiristu hauzuii watu kuingia Kanisani wakiwa katika hali hiyo.Wanaofanya hivyo ni Waislamu.Nashangaa wanaume waislamu wakiwa na vidonda vinavyotoa damu na usaha wao wanaruhusiwa kuingia misikitini.