Kupata kichaa cha muda mwezi unapokuwa mchanga
Usimkosoe Mwenyezi MUNGU ambaye wana wa Israel waliokuwa kwenye hedhi hawakutakiwa kufika jirani na mahala patakatifu. Au ww humuamini Mungu wa Israel?? Unavokosoa jua unajikosoa mwenyewe. Tafakari kabla ya kunena
Kidogo unaanza kurudi kwenye mstari maana ulikuwa unaleta changamoto isiyoendana na madaMkuu nadhani sasa tumehamia kwenye mada nyingine.Mimi nimejibu kadri ulivyouliza na kadri ya mada iliyoko jukwaani.Roho ni kitu hakionekani lakini effect yake ndo huonyesha kuwa hapa kuna roho au hakuna.
Ukweli hilo ni jambo la kifalsafa na ni dhana pana.Na ukweli unaweza kuu-testify.Sasa sielewi unataka kujenga hoja gani kwa haya maswali yako.
Bado umeshindwa kujibu kabisa
Roho ni ninini
Ukweli ni ninini
Uongo ninini
Singuzumzii matokeo hicho ni kitu kingine kabisa..... Hebu nijibu kwa muktadha wa swali
Nilishawahi kuambiwa eti menstruation blood inaua, mtu akinywa anakufa, msimuliaji akanambia walifanya jaribio kwa paka, paka akivokunywa tu akafa.... Inaua kweli au fix?Retired you know exactly this is not about science... Ambayo inaprove beyond doubts kuwa menstruation blood ina madhara
Mmmh wanawake tunaishi na silaha Koh KohNi sumu na ni kweli inaua
Mmmh wanawake tunaishi na silaha Koh Koh
ndio maana mna maisha marefu kwakuwa kila mwezi mnapunguza sumu na kupokea vitamins, wakati sisi kila siku tunapoteza vitamins na hatuna njia ya kupunguza sumu...
jiulize kwanini kuna wajane wengi kuliko wagane?Ni sumu na ni kweli inaua
Ha ha ha polenindio maana mna maisha marefu kwakuwa kila mwezi mnapunguza sumu na kupokea vitamins, wakati sisi kila siku tunapoteza vitamins na hatuna njia ya kupunguza sumu...
jiulize kwanini kuna wajane wengi kuliko wagane?
dah ndo maana nakonda aisee...huyu nyoka kanywa damu yangu nyingi sanaNiliwahi kumsikia jamaa mmoja aliewahi kuwa mchawi(kwa mujibu wa ushuhuda wake) akisema ukiwa unapiga unapiga nyeto, ukipizi huwa kuna jini kwa muundo wa nyoka ndiye anae kunywa shahawa zako, na zile si shahawa kama unavyoona, pale anakuwa anakunywa damu yako.
Mmmh wanawake tunaishi na silaha Koh Koh
Mkuu mshana Mimi kuna jamaa angu alinambia hii n dawa ya limbwata kama mkeo kakupa limbwata ukinywa Damu yake ya hedhi unatapika uchawi wote.Ni sumu na ni kweli inaua
Mkuu mshana Mimi kuna jamaa angu alinambia hii n dawa ya limbwata kama mkeo kakupa limbwata ukinywa Damu yake ya hedhi unatapika uchawi wote.Ni sumu na ni kweli inaua