Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Damu ya hedhi iliyotumiwa kwa mtu katika kahawa yake au chai ni kichocheo cha uhuru cha kukamata nth kimapenzi. Hakuna ibada, sala, au kuomba sio muhimu; Unaongeza tu damu ya hedhi kwa kahawa ya mtu au chai. Wazo ni kupata harufu yako katika nyanja ya mpendwa wako na ufahamu wake. Hii hufanywa sana na wanawake.

Acha uongo , damu ya hedhi mwanaume ukiwekewa kwenye chakula au kinywaji na ukinywa unakufa . Na hakuna maabara itakayo weza kutoa majibu ya kifo chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tu, niweke shida yangu hapa , unisaidie. Ni hivi Mimi ninaangaika mda mrefu kuhusu mke wangu, hedhi yake haipo sawa anapata hedhi baada ya miezi mitatu, nimeenda hosptali imeshindikana, nimeenda kwa watalamu wakaniambia alikanyaga tego , lakini lile tego hakutegewa yeye, sasa tego hilo ndio limeharibu mfumo wake wa mzunguko wa hedhi.

Kwa hiyo, ametumia dawa nyingi sana za kienyeji lakini bado siku hazija kaa sawa, tumeshindwa hata kupanga jinsi ya kupata Mtoto.
Naomba msahada wako mkuu jinsi ya kutoa tego hilo mwilini.

Mmh hizi habari za matego si za kuamini sana na hawa ndugu zetu waganga inabidi kuwa nao makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitangulie kuomba radhi kwa wale watakaokereka na hii mada..Nina heshima kubwa kwa akina mama wote na privacy yao..naomba tuichukulie hii kwa muktadha wa maarifa, elimu na ufunuo wa dunia ya upande wa imani
Makuzi yetu yametulea kutufundisha kwamba damu husika ni uchafu na jambo la Siri sana... Wahusika kwenye hili hufanya ni jambo la siri huku wengine wakijichukia kabisa
Kwa dhima ya udugu wa kishetani damu ya hedhi ni kitu cha thamani kubwa kwakuwa imebeba uhai nguvu na kiwakilishi cha maisha marefu, ikijulikana kama nyota ya moto kiashiria cha mungu mwezi...kwenye ibada za kishetani alama nyekundu ni kiwakilishi cha hiyo damu na hata wale ANNUNAKI(malaika walioanguka) wanaichukulia kama dhahabu ya miungu kwa imani yao
Hedhi mzunguko wake unatawaliwa na mizunguko ya mwezi na kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya damu ya hedhi mzunguko wa mwezi na mwanamke!
Kwa wenzetu wahindi hii wanaita SOMA na Greece ikijulikana kama AMBROSIA...Tafsiri kwa muktadha wao ikiwa asali ya miungu. ...
Mwezi ni alama ya makazi ya mungu na malaika wa kike. Hivyo basi ibada yoyote inayouhusika na kunywa damu ya hedhi, hiyo ni ibada ya kuabudu mwezi kwa maana ya kumuabudu mwanamke
Hapa kuna mifakarano kwa baadhi ya wayahudi kwakuwa baadhi yao hupenda kufuata kalenda ya mwezi na hata miungu yao mingi ikiwa ni masanamu ya kike lakini wale wanaojiita Israeties wakipinga hilo kwakuwa wanaamini anayepaswa kuabudiwa ni mungu jua hivyo kuabudu mwezi ni kuruhusu kutawaliwa na mwanamke....
Tukiachana na hao hapa kwetu damu ya hedhi hutumika kutengeneza dawa za mvuto wa kimapenzi na ishu za kishirikina kufarakanisha ama hata kupatanisha...!
Vyovyote iwavyo hiki tunachodhani ni uchafu kina siri yenye nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa rohoView attachment 521928

Sasa mtu awezaje kujinasua kutoka kwenye uchawi wa hedhi aliofanyiwa? i mean kama nyota ya mwanamke imebebwa kupitia hedhi anawezaje mtu kujinasua?
 
Mshana, vipi ukipiga shoo ukakutana na damu hiyo,nini madhara yake kiafya? kuna imani kuwa kumsogelea mwanamke aliye hedhi ni laana kubwa, ndiyo maana wengine wamehalarishiwa wake kadhaaa
 
Hayo ni mambo ya imani ila kiafya haishauriwi kwakuwa ile damu ni chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom