Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Mkuu asante kwa maarifa..... vp masturbation na yenyewe haina uhusiano na manyokanyoka?
Niliwahi kumsikia jamaa mmoja aliewahi kuwa mchawi(kwa mujibu wa ushuhuda wake) akisema ukiwa unapiga unapiga nyeto, ukipizi huwa kuna jini kwa muundo wa nyoka ndiye anae kunywa shahawa zako, na zile si shahawa kama unavyoona, pale anakuwa anakunywa damu yako.
 
nawashangaa wanaoacha midamu yao toilet au bafuni, anyway hakuna uganga wala uchawi juu ya mwana wa Mungu
 
Tukiachana na hao hapa kwetu damu ya hedhi hutumika kutengeneza dawa za mvuto wa kimapenzi na ishu za kishirikina kufarakanisha ama hata kupatanisha...!
je dawa hizo zinatengenezewa na damu mbichi ya hedhi au iliyokauka? Je mchawi anaeza kukudhuru kupitia pedi iliyotumika? tuanzie hapo.

Hivi kwa nini watu wengi hatufanyi tafiti juu ya yale tunayoyasikii au kuyaona? Galilei licha watu waliokuwa wamemtangulia kuwaaminisha wanadamu kuwa Dunia ilikuwa na umbile la Meza bado aliamua kufanya utafiti ili kujiridhisha. Cha ajabu,Wengi wetu Waafrika tumebaki watu Wa kuamini na kufanyia kazi Soga za zamani tu.Wazee Wa zamani walianzisha hadithi kama hizi ili kutia hamasa kazi ziende.Mfano watu wakiwa wanachambua pamba au kupukuchua Mahindi,Karanga,Njugu mawe na mazao mengine.Ila watu wengine wajanja wajanja ndio wakageuza hizo hadithi na kufanya vyanzo vya kujipatia pesa.Hao ndio wanaojiita waganga na wachawi.

Hivi damu ya hedhi ina kipi cha ziada hata itumike "kusimentisha" wapenzi? Damu ya hedhi inaundwa na seli tofauti na zile zinazokuwa kwenye damu ya kawaida hata iweze kuwa na maweza kiasi anachokisema mtoa mada? Damu ya hedhi ina upekee gani tofauti na ile inayotoka kwenye jipu linalotumbuliwa mwilini?

Damu ya hedhi ina kipi cha maana kuitofautisha na ile inayotokana na mtu kupata kidonda na kisha kikatunga usaha na hivi kutoa mchanganyiko Wa damu,majimaji na usaha?

Waafrika tumekosa nini? Hivi hatuna vyanzo vingine vya mapato tukaachana na huu ujinga Wa eti uchawi,Dawa za mapenzi.Kama Luna Dawa za mapenzi kwa nini hatujaenda kujichukulia akina Wema kilaini wakaja kwenye mageto yetu usiku kiulaini tu? Eritrea inasemekana ina mabinti wazuri sana lakini hakuna wanaume Wa kutosha kuwaoa.Kwa nini hatujatumia hiyo damu ya hedhi tukawaita hapa wakaja wenyewe tu kama watalii na wakifika huku tuwaoe?
 
Naomba mnielekeze jins ya kutumia bleed kumroga mume

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

"Kamroge" kwa kubadili mwenendo wako.Uwe mvumilivu,mnyenyekevu,msikivu,mwenye kujali na kumthamini mumeo.Usiwe mropokajiropokaji Bali mtu unayechukua hatua baada ya kufanya utafiti.Usiwe mtu unayekwenda Kanisani au msikitini kuomba ubarikiwe Bali uwe uombe kuwa Baraka kwa wengine.Na mwishowe uwe mtu Wa kumsamehe mumeo anakosa bila kuangalia amekukosea Mara ngapi.
 
Hivi kwa nini watu wengi hatufanyi tafiti juu ya yale tunayoyasikii au kuyaona? Galilei licha watu waliokuwa wamemtangulia kuwaaminisha wanadamu kuwa Dunia ilikuwa na umbile la Meza bado aliamua kufanya utafiti ili kujiridhisha. Cha ajabu,Wengi wetu Waafrika tumebaki watu Wa kuamini na kufanyia kazi Soga za zamani tu.Wazee Wa zamani walianzisha hadithi kama hizi ili kutia hamasa kazi ziende.Mfano watu wakiwa wanachambua pamba au kupukuchua Mahindi,Karanga,Njugu mawe na mazao mengine.Ila watu wengine wajanja wajanja ndio wakageuza hizo hadithi na kufanya vyanzo vya kujipatia pesa.Hao ndio wanaojiita waganga na wachawi.

Hivi damu ya hedhi ina kipi cha ziada hata itumike "kusimentisha" wapenzi? Damu ya hedhi inaundwa na seli tofauti na zile zinazokuwa kwenye damu ya kawaida hata iweze kuwa na maweza kiasi anachokisema mtoa mada? Damu ya hedhi ina upekee gani tofauti na ile inayotoka kwenye jipu linalotumbuliwa mwilini?

Damu ya hedhi ina kipi cha maana kuitofautisha na ile inayotokana na mtu kupata kidonda na kisha kikatunga usaha na hivi kutoa mchanganyiko Wa damu,majimaji na usaha?

Waafrika tumekosa nini? Hivi hatuna vyanzo vingine vya mapato tukaachana na huu ujinga Wa eti uchawi,Dawa za mapenzi.Kama Luna Dawa za mapenzi kwa nini hatujaenda kujichukulia akina Wema kilaini wakaja kwenye mageto yetu usiku kiulaini tu? Eritrea inasemekana ina mabinti wazuri sana lakini hakuna wanaume Wa kutosha kuwaoa.Kwa nini hatujatumia hiyo damu ya hedhi tukawaita hapa wakaja wenyewe tu kama watalii na wakifika huku tuwaoe?
Mkuu mbona km umejibu kwa jazbaaa sana? Nadhan kuna kitu huelewi! ulimwengu wa roho si sayansi na ndo maana huu ulimwengu wa wachawi au wale wanaoruka na ungo usiku haujawekwa wazi sana.

Ni vyema kusoma na kuelewa kisha kuchangia ipasavyo!
Maswala ya kipato, mara hakuna shughuli za kufanya, ww huitaji kujifunza yaliyo ktk ulimwengu huu uliojaa uchafu mwingi usioonekana.

Nadhan mkuu ile elimu yako ya sayansi ya advance ama chuo inakufanya usione upande wa pili wa dunia.

Elimu na tahadhari imetolewa na mtoa mada kwa upande wangu ni nzuri na naongeza uelewa! kuhusu ku provuu nadhan kaka mshana jr atakuwa tayari kukuonesha ulimwengu huo km utakuwa tayari.

Angalizo! Usije ukalia tu na kujuta kutaka kuprovu maswala ya kichawi!

Asante Mshana Jr kwa hii mambo
@ Charty...
namna yakutupa inashauriwa uzichome Moto au Loweka kwenye Maji then choma....
Kwa wanawake Mchawi akikamata hiyo Kitu inatakiwa Maarifa mengi kujinasua vinginevyo umekwisha

Pedi haina chochote cha ziada zaidi ya kwamba ni uchafu kama uchafu mwingine tu Wa kutupwa kwenye dustibin.Tusiwaogopeshe wamama bila sababu.Sasa mutahamia hata chupi zao kwamba nazo inabidi zihifadhiwe vizuri?Tungekuwa na maweza ya "kucheza" na chupi za wanawake kama watu wanavyoaminishwa basi Wazungu,Wachina na wengineo huko Ulaya na Marekani wasingekubali kuleta huku chupi zao walizokwisha kuvaa(mitumba) maana wangeogopa kufanyiziwa.
 
Kweli Asee Nimetega Ka Camera Kangu Room Hakaonekani Nikashuhudia Tendo La Tissue Kugeuzwa Chujio La Chai Nikavunga Sinywi Chai Kama Wiki Hv Chai Naandaa Mwenyewe Itakuwa Kagundua
Mmhh kunywa bwana chai hiyooo
Unahisi alikua anakutegea mini???
 
Mkuu mbona km umejibu kwa jazbaaa sana? Nadhan kuna kitu huelewi! ulimwengu wa roho si sayansi na ndo maana huu ulimwengu wa wachawi au wale wanaoruka na ungo usiku haujawekwa wazi sana.

Ni vyema kusoma na kuelewa kisha kuchangia ipasavyo!
Maswala ya kipato, mara hakuna shughuli za kufanya, ww huitaji kujifunza yaliyo ktk ulimwengu huu uliojaa uchafu mwingi usioonekana.

Nadhan mkuu ile elimu yako ya sayansi ya advance ama chuo inakufanya usione upande wa pili wa dunia.

Elimu na tahadhari imetolewa na mtoa mada kwa upande wangu ni nzuri na naongeza uelewa! kuhusu ku provuu nadhan kaka mshana jr atakuwa tayari kukuonesha ulimwengu huo km utakuwa tayari.

Angalizo! Usije ukalia tu na kujuta kutaka kuprovu maswala ya kichawi!

Uwiiii! Ulimwengu Wa roho upi usioweza onekana nguvu zake? Kwa mfano Roho Mtakatifu haonekani lakini impact(nguvu) yake inaonekana wazi katika maisha ya mwanadamu. Alipowaingia Mitume Sikh ya Pentekoste waliweza kuongea Kiswahili wakati wao walijua Kichina pekee. Waliweza kuzungumza Kiarabu wakati hawakuwahi kuongea lugha hiyo zaidi ya Kiebrania au Kigiriki. Roho Mtakatifu anapowajilia watu nyakati zetu basi wanagundua tekinolojia za dawa,Vyombo vya usafiri, makazi, mavazi ya kupendeza na tekinolojia anuai katika nyanja nyinginezo ambapo mwanadamu hufaidika.Sasa nionyeshe maweza ya huo "ulimwengu wenu Wa roho?". Nionyeshe impact inayoonekana ya huo ulimwengu wenu Wa roho!
 
Niliwahi kumsikia jamaa mmoja aliewahi kuwa mchawi(kwa mujibu wa ushuhuda wake) akisema ukiwa unapiga unapiga nyeto, ukipizi huwa kuna jini kwa muundo wa nyoka ndiye anae kunywa shahawa zako, na zile si shahawa kama unavyoona, pale anakuwa anakunywa damu yako.
Mmhh can this be true????
 
Huyo alikuwa amekunywa Bapa nyingi sana.Nakama uliendelea a kumtegea masikio bila shaka alikudharau sana.Sasa ulienda kujaribu kupiga hiyo punyeto ili uone kama kama kuna jini angejitokeza kuja kunywa hizo shahawa ili uamke asubuhi ukute hazipo badala ya kuzikuta zimekaukiana kwenye sakafu huko bafuni?
 
Kweli Asee Nimetega Ka Camera Kangu Room Hakaonekani Nikashuhudia Tendo La Tissue Kugeuzwa Chujio La Chai Nikavunga Sinywi Chai Kama Wiki Hv Chai Naandaa Mwenyewe Itakuwa Kagundua

Hata kama ungekunywa athari pekee ungeambulia ingekuwa ni kuharisha tu kwa sababu ya uchafu uliotokana na hiyo tissue na labda madhara mengine ya kiafya lakini sio wewe kubadilishwa kiakili na kimuenendo eti labda umpende sana mkeo au uwe zoba fulani hivi.
 
NAOMBA NIJIBIWE
Je, kwa imani ya mwanamke wakati wa hedhi asiingie kwenye nyumba fulani za ibada ni ushetani au ni ipi tafsiri yake ?

Ukiristu hauzuii watu kuingia Kanisani wakiwa katika hali hiyo.Wanaofanya hivyo ni Waislamu.Nashangaa wanaume waislamu wakiwa na vidonda vinavyotoa damu na usaha wao wanaruhusiwa kuingia misikitini.
 
Vpi tunaokwenda uvinza wakati mbeibe yuko period? Hatuli asali za miungu kweli?
 
Naona kuna upotoshaji mkubwa sana unaendelea kuhusu kunywa damu ya hedhi...ifahamike kwamba kwa namna moja kiafya ule ni uchafu na una madhara
Kinachofanyika ni sehemu kidogo ya damu huchukuliwa na kuchanganywa na vyakula maalum na vinywaji maaalum ....ngojeni nina dharura nitarudi kwa ufafanuzi
 
Mkuu itakuwa jambo jema ukirudi na mifano anuai ya jinsi hiyo damu ikitwaliwa kidogo na kuchanganywa na vyakula maalumu na vinywaji fulani vya kipekee ili tujue huyo mlaji au mnywaji huwaje? Kila mtu anajua damu ya hedhi ni uchafu kama uchafu mwingine lakini uchafu huo hauna nguvu ya kipekee ya kufanyia mambo ya kipekee.Tena afadhali uchafu kama huo ukichanganywa na uchafu mwingine kama garbage unaweza kuzalisha umeme au kutengenezwa mbolea.Zaidi ya hapo hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom