The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,517
- 122,922
Kila siku nipo humu,michambo yote naikuta humu,Jamani ice pamoja na kuwa abroad mbona michambo imenyooka kama sisi wa uswahilini??
Acha uhuni kijana,yani Uzi wote,wewe umeona kwenye mtu kupigwa Pumbu tu? wakati huyu kapigwa na maisha.
Sio mada nyingine,Hiyo 50/50 ni mada nyingine.
hapa mada mezani ni kuhongwa sasampa
Aisee mleta mada aone ujumbe huu 😂Haya mawazo ya kusubiri gharama za maisha yako zije kubebwa na mtu mwingine,ndio wanajikuta wanatoa mpaka malinda.
misuli ya mwanamke na kupambana na mwizi wapi na wapi??Sio mada nyingine,
Vipi kama mwizi akivamia Nyumba nikakutanguliza wewe ukapambane nae ili tukamilishe ule usawa wa 50/50 utapambana? au mnataka usawa kwenye mambo yenye faida na nyinyi tu sio?
Kila siku nipo humu,michambo yote naikuta humu,
Dunia ni kama Kijiji siku hizi,JF ndio sehemu ya kusocialize coz huku kila mtu kivyake,
Tukirudi kwenye mada,maisha ya utegemezi ni sawa na utumwa.
Sasa ndio umekuja kwenye point yangu,sio utegemezi ni hudumia umpendae jamani
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
weeee dada acha dharau hata kama ulibahatika kuongwa vitu hivyo vyetuUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Tungefika wapi au bikra zingerudi? We bana acha tupelekeane moto siye🤾🏽♂️🤼♂️Tatizo ninyi mnakuwa negative kuhusu anachokiongea Natafuta.
Laiti kama mngechukua yale mawazo ya Natafuta kama motisha mngefika mbali sana 😁
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Ajiangalie na nguo ama?😅Tatizo hajiangalii kwenye kioo. Yeye akiambiwa tu, "we ni mzuri", anaona imeisha hiyooo!
Anunue kwanza kioo kubwa awake chumbani mwake, baada ya wiki aje na Uzi mwingine.
Hahaha 😂, ati, bikra zingerudi...Tungefika wapi au bikra zingerudi? We bana acha tupelekeane moto siye🤾🏽♂️🤼♂️
Ajiangalie kwanza akiwa naked, kisha ajiangalie akiwa amevaa nguo.Ajaingalie na nguo ama?😅
We acha tuendeleze tulipoishia🤣🤸🏽♀️Hahaha 😂, ati, bikra zingerudi...
Hmm naked hapana mwenyewe najiogopa🙆🏽♀️Ajiangalie kwanza akiwa naked, kisha ajiangalie akiwa amevaa nguo.
Akiwa anajiangalia ahakikishe hajajipodoa 😎
Fayaaa 🔥We acha tuendeleze tulipoishia🤣🤸🏽♀️
Ijaribu Leo, natumai utafurahi mwenyewe.Hmm naked hapana mwenyewe najiogopa🙆🏽♀️
Yenyewee👏Mi nikimimina mbegu tu, imetoka hiyo, nakupa mpunga wako ukapunge upepo
🤣🤣🤣🤣🤣Tunawasubiri wasogee pande hii kujibu mahambulizi.