Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Wewe na mkeo mlikutana wapi? Sisi tulikutana kwenye daladala
Wewe na mkeo mlikutana wapi? Sisi tulikutana kwenye daladala
tusiokuwa na wake tuna waume ruksa kuchangia?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamie nilikutana na demu aliyochukuwa virginity yangu kwenye chatroom online
hongeraaa!Me sina mke bt nina gf ambaye 2likutana naye skul Mungu akijalia soon ntaanza kumuita wife
mtakuwa mnaendeana kitabianilikutana nae guest house ye anaingia na mtu me natoka na mtu faasta kazuga anaenda toilet nikachukua namba ya simu hadi leo nipo nae
Topic ishabakwa.