Daladala connected me and my wife.

kwa wale vijana wa siku zile nakumbuka Boys / Girls school mnapanda lori la shule (Isuzu) kwenda Girls/ Boys school kwenye disco. Huko ndiyo mambo yote yalikoanzia.
 
Mi bado sijakutana nae! Kwa ajili ya kuweka weight balance, huwa nakutana nao maeneo tofauti tofauti.
 
Waifu wangu alikuwa kiongozi wa kundi fulani la dini chuoni! Mzee mzima ikabidi niingie kundini hadi leo ninaye! What a wonderful life!
 
Mi nilikutana naye discussion wakati wa shule ndefu ya Muhas, mwisho wa discussion tulikuwa tunazungumzia maisha na mwisho maisha na mwisho tunamtoto mmoja sasa.
 
Hamna mmoja wenu alishapanda daladala la toka posta kwenda gongo la mboto ilhali safari yake ni ya tegeta?

 
Back
Top Bottom