Daladala connected me and my wife.

Mimi nina wake,sa cjui mngependa niwaambie nlikuta vp na yupi?
 
dah!!umenikumbushaa mbalii...nakumbukaa nilikuwa na kesi,hakimu alie niukumu mienzi sitaaa ndo baadae akawaaa wife,doh!!!
 
Mi nlikutana nae kanisani nikiwa naimba kwaya
akamaindi sauti yangu mwisho akanimaindi hadi mm kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom