The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,586
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.
Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelegele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.
Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.