🤔🤔 Kumbe unaenjoy... Hayo ya mbele ni maji?Hapo amekuvizia anakuangalia huku anakusogeza kwenye ukuta akubananishie hapo kwanza… yerewiii 💦
🤣🤣🤣🤣🤣 maelezo yangu yamenyooka sanaaaa. Hata wao wanajua.Ndiyo ujifunze kutoka kwa dada zako namna ya kunyoosha maelezo 😅😅
Sawa mamie, kwahiyo kesho unatoka kwenda kutupambania?Nitakujibu baada ya kukomboa nchi kwanza..!!
😃😃 Aloooo wee! Baba Ashfati🤔🤔 Kumbe unaenjoy... Hayo ya mbele ni maji?
Sema hili swali liweke vizuri bn!Sehemu gani ya mwili akikugusa unampa?
Asubuhi unakojoa vipande vya wembeUnaacha nyeto, unaenda kwenye nyapu, baada ya siku mbili unaanza kukojoa moto 😂
Dada nijifunze mara ngapi...siku hizi na uomba na nikiumba napelekewa balaa kuliko akinianza yyNimependa💕, hii dunia ukienda nayo wa ugumu inakua ngumu sana.
Shammy- inabidi aje ajifunze kwako 😅😅 mimi pia kwenye hilo sina aibu kwa kweli na anafurahia sana nikimuanza 😆
Haya useme asante sasa 😅😅Dada nijifunze mara ngapi...siku hizi na uomba na nikiumba napelekewa balaa kuliko akinianza yy
Asante sanaa😄😄Haya useme asante sasa 😅😅
Sawa bidada 😅 umejifunza chochote?Nimesoma comments zenu wote,.
Sawa tutakutana huko kwenye maandamano yetu, na mimi nitashiriki.4.. nimeshaunga bando lakutosha Mie nitaandamana Instagram Kwa ground nawaachia nyie
Mpaka upate dipresheni za dipresheni😂Dipresheni umekuja kudipress dipresheni zangu🤣🤣🤣
Mpaka upate dipresheni za dipresheni😂
Wataarifu na wenzako; kile kikosi chetu cha jeshi la mtandaoni tunakutania hapa - Oktoba 29 - tulioshindwa kutoka majumbani kwa sababu mbalimbali tukutane hapa 😆 😆Me huku wamenipa cheo Cha kuongoza jeshi la mawe 😅😅😅
Yaan nikisema rusha vitu vinatumwa kwahiyo kwangu kufa ni nje nje 😅😅😅
Niko road sioni watu nimebaki kupiga story na polisi wanajiuliza kama watanzania kweli watu halisi au mazombie? 😥Sawa mamie, kwahiyo kesho unatoka kwenda kutupambania?
Hata sijajisumbua, upo salama dipresheni angu?Hebu kapige kura huko.
Niko salama baba. Hatukutoka na kura tumepigiwa, na kuuawa juu😭😭😭Hata sijajisumbua, upo salama dipresheni angu?
Sina mengi ya kusema pole yetu kwa yote yaliyotokea.Niko salama baba. Hatukutoka na kura tumepigiwa, na kuuawa juu😭😭😭
Nimefurahi kukuona hapa, maana hali haikuwa hali🙆♂️Sina mengi ya kusema pole yetu kwa yote yaliyotokea.