Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,637
- 35,433
- Thread starter
- #241
Mwanakwetu uko salama 😔 ?Niko road sioni watu nimebaki kupiga story na polisi wanajiuliza kama watanzania kweli watu halisi au mazombie? 😥
Mwanakwetu uko salama 😔 ?Niko road sioni watu nimebaki kupiga story na polisi wanajiuliza kama watanzania kweli watu halisi au mazombie? 😥
Nmefurahi pia kukuona, hali ilikuwa mbaya sana, hadi kichwa kinauma.Nimefurahi kukuona hapa, maana hali haikuwa hali🙆♂️
Mungu atusaidie, giza kuu mbele.Nmefurahi pia kukuona, hali ilikuwa mbaya sana, hadi kichwa kinauma.
Pole yetu tenaMungu atusaidie, giza kuu mbele.
Wew kweli ni legend hadi 3some umepga 😂1. Sijui hata maisha rahisi ndio kitu gani
2. Mistari mingi, ila kwa hapa umekuja ule wa "ujana una mengi na mengi nimefanya, siwezi danganyq nishamaliza" mstari huu huwa nakumbuka ile mikong'oto, 3some, purukushani zote za ujana, mabalaa mengi niliyofanyq, kisha huwa natabasamu tu.
3.hii, mpaka nimeze mate ya akili, kwa haraka haraka sina jibu
4.kati ya kutoka na kukaa nyumbani, siwezi kwenda kutiki, bora niingie motoni kuliko kwenda kutiki
5. Kunigusa mbona mbali kote huko, mie mtu akiniambia tu amemisi MJEGEJE wangu au kamisi SHUGHULI za kukuru kakara.. ama kuonesha tu dalili ya kumisi huduma yangu
Basi mie DUDUKILA linainuka hapo hapo
Kuna Maka mmoja tu humu JF, ni hatari 🤣 🤣Wew kweli ni legend hadi 3some umepga 😂
Mt@g kwanzaKuna Maka mmoja tu humu JF, ni hatari 🤣 🤣
Huwezi jua labda namuogopa 🤣Mt@g kwanza
atakujia na mtutu co ? 😂Huwezi jua labda namuogopa 🤣
We kuweza 🤣🤣🤣atakujia na mtutu co ? 😂
Anha Ni haka kakijana kaprince alex 😂We kuweza 🤣🤣🤣
Ana mabalaa sana huyo kijana.
Kamefanyaje hako?Anha Ni haka kakijana kaprince alex 😂