MAMBO 7 NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAANDAMANO YA 29 OKTOBA 2025
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. HASIRA ZA WANANCHI PEKEE HAZITOSHI KUANGUSHA SERIKALI.
Maandamano yanaweza kuonyesha ukubwa wa hasira na kutoridhika kwa wananchi, lakini hilo pekee halimaanishi serikali itaondoka madarakani...
Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe:
4 Oktoba 1966:
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.
Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.
Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.
Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.
Kizimkazi ilizaa laana?
Wakuu,
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
kabwe
mkuu usalama wa taifa
mkuu wa jeshi la polisi
ofisini
oktobaoktoba2025
serikali
usalama
viongozi
viongozi wa serikali
vurugu
vyombo
vyombo vya usalama
wapo
wote
zitto
zitto kabwe
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi.
Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi
=============
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia uamuzi wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 huku akieleza kuwa chama hicho kitaendelea...
Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.
Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike
Mwisho wa kunukuu
Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025.
Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa.
Majina yao yatakuwa hadharani.
Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua.
Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.
Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho.
Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza 👇👇👇
Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
Salaam Wakuu,
Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu.
Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa kuweka kumbukumbu sawa kwa Vizazi vijavyo kwa Matumizi ya Shule na kuwajengea watu wa Dunia ufahamu na...
Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.