Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

Wamegusa kende za simba. Hakuna cha kutwaliwa . Imeishafikia hatua kesho yako ipo kwenye maamuzi ya wahuni wachache. Tukifa ni kwa ajiri ya wanaokuja nyuma yetu, maana hata walioipigani Tanzania leo hii hawapo, wanao kula ni wengine.
giphy.gif
 
Nadhani umemuelezea vizuri, kibunda chekundu..yupo na obsession kabisa. Ila hali yangu si anaijua, basi aseme kama hanipendi nijue moja😅
Labda anaogopa kukupa heartbreak, ila najua kama huna kibunda hawezi kukupenda 😎 .
 
🙌
2.”one for belly, one for the broken heart” I’m a mess by urban chords
Sikua naufahamu, ila nimeusikiliza na kuuongeza kwenye playlist yangu - thanks for sharing!
3. Ningemuuliza mama mkwe, hivi ushauri anaonipaga anaweza mpa mwanae wa kike?
💔💔 wamama wakwe wengine ni shida sana.
4………!

5. Kila sehemu niko active (ilaa akili kwanza mpaka nijiset)
Sawa 💯🙌
 
Ntaangalia na muhemko wa watu
Km watatoka na mm ntatoka ila kupiga kura iyo ishapita sinto piga kura mimi, familia yangu pamoja na wale watu wangu wa karibu . Michepuko yangu, wafanya kaz wangu wa nyumban na ofsn kwangu,watu wote wanao nitegemea wote hao hawato piga kura na kuandamana wataandamana baada ya kuona mwamko wa watu wengne
 
Ntaangalia na muhemko wa watu, Km watatoka na mm ntatoka
Kwahiyo wewe ni bendera fuata upepo 🤔😏?
ila kupiga kura iyo ishapita sinto piga kura mimi, familia yangu pamoja na wale watu wangu wa karibu . Michepuko yangu, wafanya kaz wangu wa nyumban na ofsn kwangu, watu wote wanao nitegemea wote hao hawato piga kura na kuandamana wataandamana baada ya kuona mwamko wa watu wengne
Sawa umeeleweka kiongozi.
 
Uduguu wabongo na nyege mapacha..!!
Yaani hilo swali no 5 kila mtu analijibia huku katumbukiza dole punani 😹😹😹
😂😂😂😂 udugu, Wabongo wanaamini kwenye nyege zaidi.

Hayo mengine hayawahusu. Lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom