Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,963
- 36,419
- Thread starter
- #181
Pole sana, una ndugu yako katekwa?😎😎 Tumechoka kutekewa ndugu zetu banaa, unalala hujui kesho yako inakuwaje kuwaje.. Hiyo sio sawa acha tufanye kazi yetu ambao wengine wameshindwa
Sisi wengine tunawaombea tu msitwaliwe hiyo kesho!