Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

1. Siwezi sema maisha yangu yamekuwa rahisi mwaka huu ila i am very very grateful kwa kila hali tbh. Wafilipi 4:11-13

2. Malengo ya Mungu - Yeremia 29:10

3. Hakuna kwa kweli

4. Ntk😂😂

5. Akiniangalia tu kwisha mimi
1761597396029.png
 
Yaani usiku wa trh 29 kama nilivyosema lazma nivute mtoto wa mama mkwe niichape kwanza halafu asubuh najimbaga jr

Naenda kupambania taifa mwepes 😅😅😅
Eti uji-MbagaJR 😆😆😅 Daaah, nawaone huruma sana wanaowategemea mkawakomboe 😅
Kwanza huchelewi kuona tako refu tu, ukaachana na kikosi chako cha mawe.
 
1. Siwezi sema maisha yangu yamekuwa rahisi mwaka huu ila i am very very grateful kwa kila hali tbh. Wafilipi 4:11-13

2. Malengo ya Mungu - Yeremia 29:10

3. Hakuna kwa kweli

4. Ntk😂😂

5. Akiniangalia tu kwisha mimiView attachment 3494884
Hapo amekuvizia anakuangalia huku anakusogeza kwenye ukuta akubananishie hapo kwanza… yerewiii 💦
 
1. Maisha yangu sio rahisi, its ups and downs nadhani hadi kukata moto, its never an easy ride.
2. Generally gospel music, nikiwa down gospel inani revive.
3. Atoto, ningemuuliza mbona ananifanyia hivi, sio fair!!
4. Mimi ni Gen X, nikisema nitoke nikivunjwa mbavu hazitapona...ila nitatoka tu😅
5. Sio kuguswa, kuna namna akinitizama tu tayari, regardless ya uzee😅
Abeee🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
1. Siwezi sema maisha yangu yamekuwa rahisi mwaka huu ila i am very very grateful kwa kila hali tbh. Wafilipi 4:11-13

2. Malengo ya Mungu - Yeremia 29:10

3. Hakuna kwa kweli

4. Ntk😂😂

5. Akiniangalia tu kwisha mimiView attachment 3494884
4. Nakuona unavyotoka 😆😆😆

5. Hiyo ya kuangaliwa inatubamba wengi, na kuna namna akikuangalia unajua tu anaitaka hata kama hajasema chochote 😋🤭.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom