Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

[emoji23][emoji23] unaweza asiwe mbongo movie ila hapendi tu mambo ya ovyo, kwanza mimi nikiona mtu neno kuachana lipo mdomoni nakereka sana, kosa halieleweki we are done aisee hizo we are done hakikisha hazizidi mbili
na kweli hilo neno hua ni pale kwenye adhabu kubwa Tuu ambapo hata nikilisema wewe mwenyewe unaona kweli sijakuonea..ki ufupi ktika hili game hutakiwi msingizia mwenzako adhabu yyte unayompa ni sababu ya kosa alilofanya kama kweli umefanya kosa mwenzako akakwambia we are done hata kama ikiwa mara 5 kama kweli una kiri kosa ni lako huna budi kua mpole tu bi Khantwe

Ukishupaza shingo,utawekwa kwenye kundi la wadada wasio ambilika kosa lao wanataka waombwe msamaha wenyewe 😂 😂 😂
 
Wanawake wenye mapenzi ya dhati wapo, japo huyo unamuona ni msaliti lakini ana mapenzi ya dhati kwa huyo jamaa.
Kingine. Hata siku ukioa mwanamke akataka umfungulie biashara, mfungulie lakini biashara iwe mali yako. Mfano duka, leseni iwe jina lako, gari liwe jina lako, nyumba iwe jina lako. Siku akizungua timua vuta mwingine.
Tunapokosea wanaume ni kutaka kumtii mwanamke. Biblia inasema Enyi wanaume wapendeni wake zenu na nyie wanawake watii waume zenu. Na haijasema mwanaume amtii mwanamke.

Kingine usimuache kumuamini mwanamke, mwamini kwa asili 0.3% tu. Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati anaonekana wala hautajiki kutumia akili.
Kweli kaka tungefata maelekezo Ya Mungu haya yasingekua yanatukuta
 
na kweli hilo neno hua ni pale kwenye adhabu kubwa Tuu ambapo hata nikilisema wewe mwenyewe unaona kweli sijakuonea..ki ufupi ktika hili game hutakiwi msingizia mwenzako adhabu yyte unayompa ni sababu ya kosa alilofanya kama kweli umefanya kosa mwenzako akakwambia we are done hata kama ikiwa mara 5 kama kweli una kiri kosa ni lako huna budi kua mpole tu bi Khantwe

Ukishupaza shingo,utawekwa kwenye kundi la wadada wasio ambilika kosa lao wanataka waombwe msamaha wenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kama nimeshaomba msamaha unakomalia we are done mpaka wiki mbili bado niendelee hapo kufanyaje? Kama mtu hawezi kuyaona mapenzi yangu hadi kwa njia hiyo basi we are done kiukweli ukweli
 
I will never be cheap like this, hivi unaanzaje kumwambia mwanaume tena ambae hajakuoa eti ninunulie vitu vya nyumbani kwetu? Seriously??? Why can't u use common sense mwanaume asijue unachoenda kununua?
 
Wanawake wenye mapenzi ya dhati wapo, japo huyo unamuona ni msaliti lakini ana mapenzi ya dhati kwa huyo jamaa.
Kingine. Hata siku ukioa mwanamke akataka umfungulie biashara, mfungulie lakini biashara iwe mali yako. Mfano duka, leseni iwe jina lako, gari liwe jina lako, nyumba iwe jina lako. Siku akizungua timua vuta mwingine.
Tunapokosea wanaume ni kutaka kumtii mwanamke. Biblia inasema Enyi wanaume wapendeni wake zenu na nyie wanawake watii waume zenu. Na haijasema mwanaume amtii mwanamke.

Kingine usimuache kumuamini mwanamke, mwamini kwa asili 0.3% tu. Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati anaonekana wala hautajiki kutumia akili.
Sasa umesema biblia haijasema mwanaume amtii mwanamke kumbuka pia haijasema mwanamke ampende mwanaume sasa mbona wanaume mnalilia mapenzi kutoka kwa wanawake?

Kama ninyi mnaona mnakosea sana kututii kwa sababu tu hamkuagizwa kufanya hivyo basi hata sisi tunakosea sana kuwapenda maana hatukuagizwa kufanya hivyo
 
Sasa kama nimeshaomba msamaha unakomalia we are done mpaka wiki mbili bado niendelee hapo kufanyaje? Kama mtu hawezi kuyaona mapenzi yangu hadi kwa njia hiyo basi we are done kiukweli ukweli
sifa moja ya mwanaume ni kugundua ana mpenzi wa aina gani mwenye hasira za aina gani ili anapompa Adhabu ampe kulingana na aina ya mpenzi alienae.

Kama hv nishamjua Khantwe yupoje naanzaje kukwambia we are done kila saaa? wewe kuna adhabu zako 😂 😂 😂
 
Sasa umesema biblia haijasema mwanaume amtii mwanamke kumbuka pia haijasema mwanamke ampende mwanaume sasa mbona wanaume mnalilia mapenzi kutoka kwa wanawake?

Kama ninyi mnaona mnakosea sana kututii kwa sababu tu hamkuagizwa kufanya hivyo basi hata sisi tunakosea sana kuwapenda maana hatukuagizwa kufanya hivyo
Dah huu mtafutano ndo unatufkisha hapa asee
 
kwakweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuliko yanikute ya ndugu yetu hapo aah tutapambana huku huku kwenye quiz mpaka tuone Ntafika na nani NECTA
Mkuu challenge zako ni za kitajiri sana.
Yaani unatoa jaribio huku umejiandaa hela mfukoni ya ku supprise na vijizawadi?
Wewe waweza kuona kama ni adhabu, kumbe ni njia mojawapo ya kutakatisha penzi.
Tena wewe kwa muktadha wa mada hii, ukikuta demu katuliza akili, anakuliza hadi unafurahi na haumwambii mtu.
 
sifa moja ya mwanaume ni kugundua ana mpenzi wa aina gani mwenye hasira za aina gani ili anapompa Adhabu ampe kulingana na aina ya mpenzi alienae.

Kama hv nishamjua Khantwe yupoje naanzaje kukwambia we are done kila saaa? wewe kuna adhabu zako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kama zipi
 
Hasa wa karne hii ni balaa zaidi ni kero mtu hata ukimsalimia anataka umpe vocha mdada ukiomba namba ya cmu ndo umekaribisha balaa
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Pole sana mkuuuu,hiyo tunaita win lose situation............ila utamwaminije mwanamke kindezi hivyo?????
 
Pole sana ndugu ipo siku atakutafuta haya maisha hayana fomola. Huyo Huyo mume aliyemwamini naye atasalitiwa. Atakuwa anamwambia maneno hayo Hayo kuwa nilikupenda sana nikakupa Pesa Ununue bodaboda na vyombo navyo nikavileta Lakin unanifukuza.
Don't give up
 
Mkuu challenge zako ni za kitajiri sana.
Yaani unatoa jaribio huku umejiandaa hela mfukoni ya ku supprise na vijizawadi?
Wewe waweza kuona kama ni adhabu, kumbe ni njia mojawapo ya kutakatisha penzi.
Tena wewe kwa muktadha wa mada hii, ukikuta demu katuliza akili, anakuliza hadi unafurahi na haumwambii mtu.
mkuu mpka huyo demu awe ananijua nipoje...torturing zangu kwa demu bongo movie hachomoki ni Real hasa ndio mana ninapomaliza hua nakuja na zawadi maana nakua najua maumivu niliyompitisha kiumbe ambae hakuyastahili.

sio vizuri kumpa adhabu mtu ambae hakustahili alafu ukamuacha pending tu eti umwambie yameisha,then what! show her kweli yameisha ndio maana ya zile zawadi mkuu..halafu wala sio utajiri mkuu zawadi hizi ni vile vitu ambavyo ni weakness za hawa ndugu zetu na mara nyingi ni costless ila ukimnunulia huwa unamfanya seme whaooow! ANASAHAU hata alipitia msoto a week back.
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
usipende kuamuni mtu mazima mazima kama ivyo
 
Back
Top Bottom