Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]


SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah

siku zake zina hesabika na kwambia.
omba mungu hata kujibu .malipo hapa hapa duniani
 
Kumbe hata nyinyi wanawake mnakubaliana na sisi katika hilo?
Ni Bora ujifunze. Kila siku hapa mnasema mchumba hasomeshwi na Mambo mengine Kama hayo. Ukifanya hayo ni at your own risk.
 
Mmh ndani ya mwaka unahonga namna hyo nmekupa masters ya uhongaji lakn pole nadhan kuna vtu umejifunza vingine vilihitaj kutumia akili ya kawaida kununua mavitanda,sijui fridge inamaana ww ndo ulikuja kuwamalizia umaskini wao?lakn nawalaumu wazaz kwa kukumbatia ujinga
Wazaz wa sasa weng washakua hovyo cna
 
Daah,

Nashukuru Mungu kwa kuufanya Moyo wangu kuwa mgumu sana linapokuja suala la kutoa hela.
 
Dah! nmefnyika daraja na mfano mgumu kwa wengine
Nimekuta nawaza hivi kwa wazazi wako ushanunua Tv, sofa godoro na vitanda hadi umalizie kwa fiyansii! Mkuu humu JF kwa nilivyojifunza kuna story nyingi za kutunga ila zina mafunzo. Kuna watu me na ke pia wanalizana humu kwa vihoja wewe bado unakaa na kumwamini mtu milyekutana ukubwani na wala huna uhusiano naye wa damu. Ukitaka kuishi maisha yenye raha ktk mahusiano usimwamini mwanamke au mwanaume mia ya mia mengine chukulia anachokuambia kuna uongo hata 60% iweke kama risk likitokea la kukutokea hutalialia sana mtaa mzima wakajua. Nakumbuka kuna movie alicheza Vandame na mwanamke mmoja miaka ya 90 yule mwanamke akamsaliti jamaa walivyobishana sana mwanmke alimkaripia kwa ukali akisema nanukuu" I am not a woman you can trust" jamaa alisikitika sana maana hapo alishakamatwa na adui zake kupitia mtu aliyepiga mzigo kwa sana na kumuamini. Never trust any one not either yourself!!!!
 
Mkuu wadada wa kiBongo ndio walivyo.
Ukitaka kuoa usioe asili ya Tz utachachafwa indeed.
Wanawake wako huko bhana asia ama africaste (waliochanganyika asili mbili)
Ila hawa wachaga,wapare,warangi damn shit usithubutu tena.
ILA POLE MKUU WW HAYAJAKUKUTA MAKUBWA KUNA YA WENGINE UKIYASIKIA UNAWEZA UKATAKA KUMCHINJA KILA MWANAMKE.
BUT WHAT IS IMPORTANT BE LIKE A RIVER.RIVER DOES NOT REVERSE .SO U NEED TO LEAVE THE PAST AND TRY TO FOCUS ON FUTURE MKUU.
NAAMINI UTAMPATA AKUSTAHILIYE.
LAKINI HUYO DEM LAZMA KIMKUTE KIBAYA FOR SURE"MTENDA HUTENDWA"
Asante sana kiongoz,Mmenipa nguvu cna ya kusonga mbele
 
Yumo humu kwani?
Halafu kama yumo humu hayupo basi haitasaidia chozi lipi??
Siulikuwa unamgegeda tena mara ingine wiki nzima sasa unalilia nini kama katoto kandege wala hujapigwa vingi tukurudishie hela hapo ni hela ndogo hizo za mwanaume kulialia .
We vipi wenzako wanachunwa VX magari ya dola elfu 90 nyumba mikocheni ml700 na sio gari moja anahonga biashara yenye dhamani ya madola na madola na bado anaachwa acha ulofa unalilia mafanicha ???
Dah poa2 yote kheri
 
Mtanyooka tu..... Nyie si mnapitaga bila kusoma thread za watu.

Kesi km yako isingekukuta.
Next time uwe unapitia kila thread kujifunza mawili matatu....
Hakuna geni duniani.... Ila geni kwako tu.
Huwa natembelea jukwaa la sports na international forum
 
Back
Top Bottom