Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,206
- 7,657
unajua wale wa maza ambao wakimwambia mtoto wake..."nimesema zima TV nenda kalale" mtoto pale pale hajivuti vuti ni anafanya alichoambiwa na mama ake.[emoji23][emoji23][emoji23] hutaona sasa bora uniambie mwenyewe
kwann mtoto katiii haraka vile wakati wazazi wengine mpk aende zima yeye TV ndo mtoto aende kulala tena hapo mama kaongea weee..kwa sababu bi Khantwe yeye utani upo when needed,aki change kua blue huwa ni real BLUE na wala sio light blue so watoto wanalielewa hilo.
Kwa baba anae m handle such type of woman ana takiwa awe na extra skills za torturing...Ntahitaji kujua unapenda nini sana na huwezi fanya nini bila hicho kitu...where is the source of Khantwe happiness when at home or at work?
Nikishajua vyote hivyo Naingilia kati na disturb...nafanya ile inaitwa vuruga vuruga alafu mimi Kimyaaa sina time na wewe nakaa pembeni kimyaaa kumbe source ni mimi. 😜 😜 😜 😜
Tunaenda ndani ya week nzima na aina hyo ya Adhabu...lets say ukirud home unapenda sana kutulia kwenye simu yako ukisoma vitu na kujua whts going on...nitavyo ikorokochoa hyo simu halafu nawahi bed kulala wa kwanza Utakua na simu ila utajiongelesha kama mwehu (simu yangu imefanya nini,mbona hiviii,mbona vilee) kumbuka huwezi nifata niuliza maana nina mnuno wa ulivyonikera JUZI na sijakusamehe bado.
au Labda home bila TV unahisi mambo si mambo..mi nkrud kazn ntavyoikorokochoa alafu kimyaaaa ntakuona unavyohaha,kuniuliza huwez,kuita fundi huwez utabaki umevuta domo Tamthilia ikikupita (usichojua ni kwamba unatumia adhabu yangu)
Yani hutamkiwi WE ARE DONE ila utaelewa tu somo...Furaha yako itarudi baada ya mimi kuridhika sasa imetosha Acha nikurudshie Amani yako.😂😂😂😂
#utanyooka