Unafiki uko wapi,mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu.
Yani mpk wizkid kaimba no money no love kwa hii Africa.
Madada wa siku hizi ni watu wa ku take advantage then mnajua kuigiza kinyamaaa mtatambaa hadi na ulimi ili wanaume wawaamini then mkifanikisha yenu mnasepa.
Sikatai ndio kwanza nina 24 years lakini masahib yalionikuta niki date na. masista zangu nyie hususan wa kibongo!!!
Sitakuja kuyasahau yani bado kidogo yafananie na kaka angu mpendwa hapo juu.
Nakumbuka ushenzi wa mwisho wa mpuuzi mmoja wa kipare.
Eti alinidanganya kalazwa ICU saa nne hapo eti kapata ajali ya Pikipiki. nikatuma hela ya mboga tu anyway 200,000 then saa kumi naenda hospital waliposema kalazwa nikamwone naambiwa mgonjwa huyo alikuwepo ila alishatibiwa na kuondoka na alichunika mkono tu wala hakulazwa.
Unaona ujinga mnaotufanyiaga?!!!
kingine bhana baba alizoea kunambia ukiwa na mkeo yeyote yule kapime DNA
Maana hawa wanawake ndio wanaojua kama watoto hao ni wa ndani au wa nje ya ndoa.
Unaweza ukalea toto kumbe la muuza chipsi huko.
Asee punguzeni hizi vitu madada mmezidi aiseee.
WITO WA MAKAKA NA MABABA ZANGU WA HIARI HUMU NDANI.
UKITAKA MKE BHANA NENDA UGHAIBUNI VUKA MIPAKA NENDA HUKOO HAWA WAPARE,WARANGI,WANYATURU,WACHAGA WATAWAUA.
TENA NAHISI ALIYENIUMIZIA KAKA ANGU JONAH KAMA SIO MCHAGA BASI MPARE AISEE