Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Polygamist in nature? Imeandikwa wapi?
Mwanaume unakuwaje na mwanamke mmoja unashindwa na dume la samaki linakuwa na majike sita

Sio kama nakushauri ujinga hapana usiwe na mwanamke mmoja wala usipende huyo mmoja ukija kuachwa utaumia acha kuzama mzimamzima

We are polygamist in nature acha kutuaibisha
 
Na nikisema nakunyima unyumba mwezi mzima? Utapokea kwa mikono miwili?
Adhabu hyo sio kabisa!

ila ukinipa hiyo adhabu nitaipokea japo hautofika mwezi Na uhakika maana sio kwa kuililia live tena kwa kwikwi huko BED,utanipa TU.

Nakuomba ukininyima sio siri nalia tena siigizi kulia nalia haswaa..kwani nani ananiona chumbani nikilia si namlilia baby,aah utanipa tu kwa hisani ya watu wa marekani 🤣 🤣 🤣
 
Nimekuta nawaza hivi kwa wazazi wako ushanunua Tv, sofa godoro na vitanda hadi umalizie kwa fiyansii! Mkuu humu JF kwa nilivyojifunza kuna story nyingi za kutunga ila zina mafunzo. Kuna watu me na ke pia wanalizana humu kwa vihoja wewe bado unakaa na kumwamini mtu milyekutana ukubwani na wala huna uhusiano naye wa damu. Ukitaka kuishi maisha yenye raha ktk mahusiano usimwamini mwanamke au mwanaume mia ya mia mengine chukulia anachokuambia kuna uongo hata 60% iweke kama risk likitokea la kukutokea hutalialia sana mtaa mzima wakajua. Nakumbuka kuna movie alicheza Vandame na mwanamke mmoja miaka ya 90 yule mwanamke akamsaliti jamaa walivyobishana sana mwanmke alimkaripia kwa ukali akisema nanukuu" I am not a woman you can trust" jamaa alisikitika sana maana hapo alishakamatwa na adui zake kupitia mtu aliyepiga mzigo kwa sana na kumuamini. Never trust any one not either yourself!!!!
 
Madhara ya kujitoa 100%kwa mwanamke matokeo yake ndio hayo
 
NENO
 
Ucjali ndugu yetu tuliza moyo nakuapia IPO siku atakutfta na kukuomba msamaha amini Ipo hiyo ck so jiandae kwa hilo atasema shetan alinipitia sbb unakopendwa huwa hupendi na unakopenda hupendwi
 
Back
Top Bottom