Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Ndio sema "SU" nianze, fanya kama unajikuna tu.
"Sema Su nianze" si unaona hii statement yako inaonyesha kabisa unataka mashindano na mwanaume hi 50/50 inawaaribu wanawake

Sema sahivi tumelegeza sana tumezidi kuwaachia uhuru sana zamani mwanaume akiongea mwanamke aruhusiwi kuongea chochote unakaa kimya, mwanaume alikuwa akosolewi. Mlikuwa hamruhusiwi kutoa maoni. Kipindi kile hapakuwa na hizi Case za wanaume WA mbozi na Rombo kupigwa na wake zao tatizo tumewaachia uhuru Sana mnadiriki kudai haki sawa kila nyanja mnataka tufanane

Unataka turudi enzi zile Miss Edelyn
 
Basi ndiyo maana waafrika hatuendelei na hii ni kwa sababu ya kuamini kuwa wanaume tu ndo wako sahihi siku zote ila wanawake hawajui kitu mwanaume anapewa wazo la biashara na mke wake anapinga kwa kigezo cha kuwa 'yeye ndiyo mwanaume anaamua' bila kujua kwamba pengine angelifanyia kazi wazo la mke wake wangefika mbali kiuchumi

Nina mifano mingi sana ya ndoa ambazo wamefanikiwa kiuchumi kupitia mawazo ya wake na baada ya waume kuyafanyia kazi siku waafrika tukijua kuwa "hakuna binadamu anayepatia siku zote na hakuna binadamu anayekosea siku zote" basi labda hiyo siku ndo wanaume wote wataacha kuwadharau wanawake wote vinginevyo tutaendelea kuwalaumu wazungu hadi mwisho wa dunia wakati wenzetu huko kwenye hiyo mitazamo walishatoka muda mrefu
 
Mkuu embu soma vema bhana.
Mtu unawezaje kuoa kabla hujafahamiana na mtu na kujenga nae ukaribu na future plan Kakaaa?!
Yey anadai kuwa yule bint alikuwa future wife kwake kwasababu aliamin kua wataoana ndio maana alikuwa anataka kupeleka barua,
Asa hilo pepo la uzinzi limetokea wapi?
Mzinzi anakuwa na plan ya kuoa km sio kula na kusepa?!
Sijakataa kama alikuwa na future naye! Mbona kasema kila akimwambia akatoe posa anampiga chenga kama za messi? Hashituki unataka mjipange mtu anakwambia ununua vitu vya nyumbani wazazi wangu hawana sofa, wakati yeye mwenyewe anakalia vya plastic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hataki kutolewa hapo kuna mke kweli jamani ? Ishini na wanawake kwa akili!
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Ndo muone uchungu unavokuaga,mmezoea kuwaumiza wanawake na kujiona wajanja. Binafsi nikikuta mwanaume aliyetendwa Sina huruma nae ht kidogo.
 
Wanawake wanafiki kushindaa.
Tena hususan wa kibongo Kiukweli.
Ndo muone uchungu unavokuaga,mmezoea kuwaumiza wanawake na kujiona wajanja. Binafsi nikikuta mwanaume aliyetendwa Sina huruma nae ht kidogo.
 
Usisikitike ndugu furahi tu kwa kuwa umejua rangi yake halisi.Kuishi na kiwiliwili kisicho na moyo ni kuidhulumu nafsi.Nimependa ulivyoamua kumwachia Mungu.
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
 
Uzembee tu huo. .Hamna cha mzunguko wala nini --- maisha Yana endeshwa na kanuni - ukitoka nje ya kanuni husika lazima yatakuadhibu tu. ..

Let me tell you this mkuu--- Binaadamu Huwa tunapo kutana na changamoto mbali mbali zinazo tuumiza huwa tuna desturi ya kuwalaumu watu au mazingira yaliyo pelekea kutuumiza,,

Huwa hatujipi time ya kujikagua vyema ili tuweze walau kujua mistake tulizo zifanya ambazo zilipelekea kutoa chance kwa watu wabaya na mazingira mabaya ili ya weze kutuumiza. ... Tukijenga desturi ya kujifanyia, tathmini ya wapi tulipokosea ' itatupatia experience so itakuwa ni nadra next kufanya makosa Yale Yale '' pia itatusaidia kuweza kuwapa ushauri wenzetu wanao kabiliwa na changamoto ambayo sisi, tulisha wahi kuipitia
Nimekuelewa vzr sana.
 
Back
Top Bottom