Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Usiwekeze sana usichoweza kuvumilia kupoteza especially kwa binadamu, Pole sana watu wazuri bado wapo Duniani piga moyo konde anza upya
Kama kweli lakini
Kama kweli lakini
Nyie ndo wale wanaume mnahonga kwa sifa ili sisi tusio jua kuhonga tuitwe Dume suruali,Majibu ndo hayo sasa.
Nyie ndo wale wanaume mnahonga kwa sifa ili sisi tusio jua kuhonga tuitwe Dume suruali,Majibu ndo hayo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unazingua ujue
Hahaha kani chekesha sana
Mpaka amalize deni akili itakuwa imemsogea atakuwa kajifunza kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kanichekesha sana anakosa huruma kwa jamaa ambaye kajitoa, mpaka kakopa kwa ajili ya Mpenzi mwisho wa siku kapigwa tukio
Haya mambo yapo sana aisee
Mimi kanichekesha sana anakosa huruma kwa jamaa ambaye kajitoa, mpaka kakopa kwa ajili ya Mpenzi mwisho wa siku kapigwa tukio
Haya mambo yapo sana aisee
Mpaka amalize deni akili itakuwa imemsogea atakuwa kajifunza kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ukiyaendea pupa lazima ya kupige Ko
Yawezekana hajasikia ule msemo, usiamini unachosikia, wala unachosoma njia rahisi ni kuamini unachokiona, Kia Afrika Afrika lazima uwe mjanja mjanja, ukizubaa tu watu wanakupiga tobo
Ndiyo hayo marupurupu ya uzinzi, kila kazi ina faida na hasara yake, acha wajinyonge tutawakuta huko hukoMuwe na huruma wengine hawawezi kukaza, wanaishia kujinyonga
Ndiyo hayo marupurupu ya uzinzi, kila kazi ina faida na hasara yake, acha wajinyonge tutawakuta huko huko
Mkuu wadada wa kiBongo ndio walivyo.Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.
Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.
Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.
Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.
Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.
Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!
Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!
Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.
Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri
cc: joanah
Tutaendelea kuwaombea hilo pepo la uzinzi liwaepuke, kama anaenda kopa kabisa kwa ajili ya mtu asiye mke wake kwanini asihonge kulingana na kipato chake!Daah unazidi kandamiza Tu
Uzinzi ni mbaya na haufai yatupasa kuupinga
Kwani ndo yeye kamla mwenzie hela?!joanah mdogo wangu umemfanyaje tena kaka wa watu
Mkuu embu soma vema bhana.Tutaendelea kuwaombea hilo pepo la uzinzi liwaepuke, kama anaenda kopa kabisa kwa ajili ya mtu asiye mke wake kwanini asihonge kulingana na kipato chake!
Tutaendelea kuwaombea hilo pepo la uzinzi liwaepuke, kama anaenda kopa kabisa kwa ajili ya mtu asiye mke wake kwanini asihonge kulingana na kipato chake!