Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Ndugu yangu yalishanikuta na nimekoma sitakuja kuoa mwanamke mzuri sana ni bora kuchukua mwanamke mbaya tu ... wanawake wazuri wanatesa sana wanaume na hawana mapenzi ya dhati na ni waigizaji sana..oa mwanamke mweusi tena mbaya nakuhakikishia hatokusumbua milele ... wanawake wazuri wasiolewe wabak kuwa malaya tu
 
Kula papuchi sepa. Mambo ya kupenda nilishaacha. Nitaoa nipate watoto tu wa ndani ya ndoa. Akinizungua tupa kule. I don't give a damn shit.

Nishasema, na ninasema. Mwanamke anayestahili level ya juu ya mapenzi yangu ni mama yangu tu.
Usiseme hivyo utakuja nasa sehemu mpaka utajishangaa siku akili inakaa sawa ulipigwa zakutosha
 
Yani ni kosa kubwa sana kumsahau mama yani
Kosa kubwa sana tunafanya wanaume wenzangu. Nilimhonga mtu simu ya laki 7....4 months later ananiambia "tafadhali tafuta mtu uoe mi sipo tayari" wakati mama sijawahi mnunulia simu ya hivyo. Though mama yangu hapendi smartphone natamani ningenunua hata gauni zuri plus kanga,vitenge, mashuka, madera na zaga zingine nimpelekee.
 
Hii kitu huwa tunakumbukaga tukishapata majanga kama hivi mkuu,Nadhan Mungu anatukumbusha japo kwa mapigo
Ndiyo mbadala wa sadaka, tukiambiwa tumtolee Mungu tunaona wivu tunawatajirisha viongozi wa dini sasa mlipitia papuchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haa haa maisha haya jamani, anahangaika na mkopo daa wenzie wanatumbua huko ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusubiri hapa jamaa ataleta mrejesho, kwanza hyo bodaboda itapata majanga sana kabla hata jamaa hajamaliza kulipa hilo deni
 
my Formula: Ukitaka kujua mpenzi uliyenae ana kupenda au hakupendi..Try to Push her away from you" subiria kakosea siku moja usimsingizie KOSA hakikisha kweli kakosea...Mmaindi kinoma kinoma JITIE huelewi mbele wala nyuma yani unajua kabisa haka kakosa ni kakuongea yaishe ila hakikisha unakua MBOGO bin FARU then tell her we ARE DONE.

Asee akikubali mmalizane wala usipomuona anarudi kuomba samahani kila siku zinavyoenda we kaa ujue Huyo HAKUA WAKO muache aende hata kama ulikua una mjaribu.

Kama anakupenda SHE will try/do all possible alternatives kuhakikisha mna solve yanaisha..as how we did to them na mwanamke aliekupenda ki ukweli hawezi kukubali umuache simple just like that kwa kosa analoamini kweli amelifanya,lazima ashuke atafute hata watu wamuombee msamaha.

Ukionamwanamke anafanya hivyo MSAMEHE na ujue ni wako huyo,asipofanya akiwa ni type ile (siwezi lazimisha mapenzi) Muache aende.

Mapenzi/mahusiano yanataka MAJARIBU hakikisha una mjaribu Mpenzi wako..MUNGU mwenyewe anatujaribu sembuse sisi binadamu ndo tusijaribiane? mpaka umekidhi vigezo nikakuita MKE aseeee ntakua nimekupitisha kwenye majaribu MOTO MOTO.

ONYO :

usimjaribu mpenzi wako akashinda jaribu ulilompa ukajisahau kumsahaulisha na kumpa zawadi...mimi nikishatoaga TEST zangu akishinda huwa ni mwendo wa surprise...usikae ukajiachia ktk mahusiano as if huyo ulonae n dada ako mmezaliwa tumbo moja...darasani kuna mitihani sasa iweje wewe unakaa na mpezni wako mwaka mzima hujampa hata ka QUIZ mpe quiz moto moto akili ipashike na hakikisha akifaulu una mpa ZAWADI tena sio za midoli zawadi zawadi kweli.
 
Hata huna haja ya kuwalaumu wanawake ni wew kujipendekeza , mtu hata barua hujatoa mambo yote hayo ya nin na mkopo juu. Pole
 
Ndugu yangu yalishanikuta na nimekoma sitakuja kuoa mwanamke mzuri sana ni bora kuchukua mwanamke mbaya tu ... wanawake wazuri wanatesa sana wanaume na hawana mapenzi ya dhati na ni waigizaji sana..oa mwanamke mweusi tena mbaya nakuhakikishia hatokusumbua milele ... wanawake wazuri wasiolewe wabak kuwa malaya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaoa mnayefanana sura ambaye hata watoto wenu watakuwa wana wachanganya baba na mama sura zenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mwanamke mbaya ni matunzo tu mkuu
 
Hawa wanawake kula papuchi tu usiwape moyo wako wote jipende wewe kuliko chochote kile wengine wametoa nyumba na wajalalamika mwingine alitaka kuonga nchi waka mtime ipende familia yako inatosha pumbavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwingine alitaka kumhonga nchi mwanamke...!!!? Waka-time? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hukukosea kumuamini ila next time muogope kama ukoma mwanamke ambae hamjamaliza mwaka katika mahusiano lakini haoni shida kukwambia Vocha imeisha,shida hii mara shida ile mara hiki mara kile..Muogope na kaa nae kwa makini aina hiyo ya viumbe.

Mwanamke akikupenda from deep inside hutomuona akikuomba hata sent yako,yupo radhi umuite aanze kukaa kwa mawazo ila sio afungue mdomo wake kukwambia...yani wanawake wakiwa na wapenzi zao hawasemi kitu huwa wana kua kama watoto..MPAKA UMUULIZE "babe what's wrong with you,something isn't ok" atazuga yupo sawa UKIMKAZIA lazima atakwambia tena sio akwambie ili umpe hela au msaada atakupa ile taarifa kama taarifa akiwa hategemei anything from you.

ila ukiona kenge lako hujaliuliza kitu lenyewe lishakwambia,mzee tia X.hata kama ni kuja home kwako anaweza akawa hana nauli,ukimuita kamwe hatokwambia hana nauli utaona atavyo fight na atakuja TU kumbe nauli ukute kakopa,utakuja kugundua siku nyingine kabisa kua alikopa au baada ya kuskia anadaiwa na rafikia ake.

ila wale wanaokuchana "baby ningekuja ila nauli sina" mzeee tia X hamna mwanamke hapo....when a woman love hata huhitaji mtaalamu kugundua Utaona action zao hata kama dem kwao n maskini ila utapenda zile fighting zao...i love girls with true love achana na huyo Nguruwe.

Vuta kiti tulia mwezi au mwaka unaeza usiishe litarudi tena kukuomba msamaha...na ulivyonyweshaga limbwata UTAMSAMEHE....
 
Mkuu wapenzi wakiwa wawili wamevuana nguo hawakumbukagi kabisa mambo mengine ndiyo maana hutoa siri zote labda yule ambaye yupo kimaslahi huyo hawezi jiachia
Lakini udhaifu huo huwapata wanaume zaidi.
Hasa wakati wa kusimamia kucha, akitandikwa maswali sawasawa wakati huo, kuyakwepa ni muhali, labda awe na taaluma ya upepelelezi.

Utasikia anajitambulisha nyadhifa zake zote, ukwasi anaomiliki na asilimia ya upendo alionao rohoni mwake.

Ataungama yote kuliko anayoweza kuyaungama kwa muumba wake!

Sasa huo udhaifu ukimpata kichuna aliyetuliza akili, utachunwa hadi mifupa.

Kwa upande wa wanawake, anaweza kuigiza umemkoleza hadi kutoa chozi la maji kabisa, kumbe anakusanifu kwa ajili ya kutimiza lengo lake alilokusudia!
 
Pole sana mapenzi yanaumiza kuwa makini ulipata jambazi ukahisi ni mwanamke
 
Hakuna experience ya kuhadithiwa/kufundishwa, yaani ni ikutokee kabisa kama hivo.

Sasa umekwiva
 
Back
Top Bottom