Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Wanalia saiv wanaume wameanza kutupa majina ya kila ainaaa hehehhe wanacheza na akili za wanawake
Avumilie tu mbona k wanalizwa kila siku ni kama vilio vya samaki tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Insue gani hiyo Demiss
 
Hujakutana na mafisi jikeee
sasa wewe akili zako ni bhangi kabisa....tangu lini mwanamke akawa "mwaminifu"??kwani ulimkuta ana "bikira"?siku zote unaambiwa wanawake ni 'mashetani"wanabadilika kila baada ya sekunde 30.....shukuru mungu ulivaa kondomu....ila usirudie tena kumsaidia mwanamke au ndugu wa mwanamke...kwani wewe huna ndugu?
 
Pole sana mkuu ..
Yaani ulichagua kabisa kuamini maneno haya (Nakupenda /uko peke yako )? Hayo ni maneno tu huwa Yana tamkwa kwaajili ya kuwapumbaza watu ili waweze kuhadaika '' kama namna ambavyo wana siasa wa navyo ahidi ahadi zisizo tekelezeka kwa wananchi wakati wa kampeni....

Huko kwenu -- hakuna Uchawi ?
Haa haaa uchawi tena ? [emoji23][emoji23][emoji23] Ili akaroge umenichekesha kweli
 
Jana tu nimeomba mtu anipe hela ya kupandisha kijumba changu usiniharibie mingo na account nimeshafungua ya kuingiziwa 10 million
Umetuangusha sana maabaharia sisi wanaume
Naomba Mwenyekiti aitishe kibao cha dharura mana tulishakubaliana mwanamke hasomeshi, hatibiwi wala hapewi mtaji sasa umekiuka masharti na Adhabu Kali itachukuliwa Juuu yako
Kwako mwenyekiti
 
Back
Top Bottom