Dah! yani malezi nlopata na hulka yanguPole Sana kiongozi, Inaumiza Sana ki ukweli.
Kipind hiki Cha magonjwa ndo hatar zaidi.
Kwa upande wangu ningepiga chini maana sio mke bado.
Jaribu kumtangazia kumuacha uone anasemaje ukiona anaonba msamaha na kuahidi hawez rudia basi huna budi kumsamehe ila ukiona as if hajari basi achana nae atakutesa Sana.
Hawa watu wa masomoni bwana hawaamiki kabisa.

Bush kuna auheni kidogo...kuna faida katika kuwa na demu mshamba ila mwenye hofu ya mungu.Inabidi nizame bush tu japo Wadau walisema ni wale wale
Hata huyu hii kauli huwa ananijaza sanaHuku kujiamini wanawake nahisi tafsiri yake hamuijui kabisa yani. Ina maana mwanaume akae kimya anapoona unatongozwa na mafisi au kuitwa chocho zao. Yeye akiona akaushe tu ili kusudi umuone anajiamini?
Kumkalia kimya malaya ili tu akuone unajiamini ni uzwazwa. Ukileta flirting around lazma uchanwe na kupigwa chini. Wanawake wengi wanatumia hili neno "kutojiamini" kama silaha ya kuwanyamazisha wanaume wenye wasiwasi na nyendo zao.
Sure65% ya wana ndoa wenye zaidi ya 5yrs of marriage wana ishi sababu ya kuonekana ni couples but deep down there is no affection kati yao Bali ni conditional love na kuwalea watoto.
Dah huyu bhana hana mambo hayo kabisa. Mi wanawake nawajua sana nshachafua chafua sana lkn kwa huyu hanaga kabisa hizo mambo. Simtetei.Unahisi yameisha mkuu, anakulia timming nawewe atakuliza soon.😂😂😂
Mungu akujalie, uendelee kuwaaminiSahihi kaka me nkimuamini mtu huwa sihofii
Pole Sana kijan, I feel the pain you feel.Dah! yani malezi nlopata na hulka yangu
Napata majonzi sana kuona hakuna aina ya wanawake nnaotaman kumpata
Nimefanya scout nyingi sana mpaka nlipokomea kwa huyu zote zimeprov failure
Hapa mwakani nafikisha 30 nlitaman sana nianze maandalizi ndani ya mwaka ujao nioe
Yani kwa mabinti wa sasa hivi huwezi kuwa peke yako ukimchunguza tu lazima uumie.Wakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()
Faza yaani miaka 30 tu ndio unapata moto hivyo!? Enewei, kila mtu na mipangilio yake. Nina 30+ sasa ishu ya kuoa naifikiria ila haijawa kipaumbele badoDah! yani malezi nlopata na hulka yangu
Napata majonzi sana kuona hakuna aina ya wanawake nnaotaman kumpata
Nimefanya scout nyingi sana mpaka nlipokomea kwa huyu zote zimeprov failure
Hapa mwakani nafikisha 30 nlitaman sana nianze maandalizi ndani ya mwaka ujao nioe
Umesahau waongeze na makonziHuku kujiamini wanawake nahisi tafsiri yake hamuijui kabisa yani. Ina maana mwanaume akae kimya anapoona unatongozwa na mafisi au kuitwa chocho zao. Yeye akiona akaushe tu ili kusudi umuone anajiamini?
Kumkalia kimya malaya ili tu akuone unajiamini ni uzwazwa. Ukileta flirting around lazma uchanwe na kupigwa chini. Wanawake wengi wanatumia hili neno "kutojiamini" kama silaha ya kuwanyamazisha wanaume wenye wasiwasi na nyendo zao.

pole mkuu bt maumivu unayopitia ni ajili ya kuingilia privacy za watu, ukishampenda mtu kinachofuata muamini kisha uangalie kama anakutreat vizuri inatosha, mambo yakumfuatilia utakuja jisababishia matatizo bureDah! poa tu
Ni swala mtambuka
Sasa Kama mke wako au mtarajiwa na unantunza usichunguze.!???pole mkuu bt maumivu unayopitia ni ajili ya kuingilia privacy za watu, ukishampenda mtu kinachofuata muamini kisha uangalie kama anakutreat vizuri inatosha, mambo yakumfuatilia utakuja jisababishia matatizo bure
Wakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()
Dah! acha tu kakaUtakufa bure wewe mapigo ya moyo kisa mpenzi bora ukauze iyo simu unywe bia zako ukalale gesti na mwajuma
Hivi ina maana ndio maisha ya sasa yalivo au?Sasa Kama mke wako au mtarajiwa na unantunza usichunguze.!???
Mara moja moja muhimu Sana.